Mange kaongea bonge la point ila tatizo watu wengi wana hasira nae,si unajua tena yule ni enemy of the people kwa hiyo hata akiongea kitu cha maana watu wanakubali kimoyomoyo ila kwa vile wanamchukia wanaamua kumponda.Mimi mwenyewe kanitoka ka kande zilizochacha ila mnyonge mnyongeni haki yake mpeni hapa mama mzungu kaongea point.Mange ana akili ila tu ndio hivyoo jina lake linanuka kinyesi kwa jinsi anavyopenda ugomvi.Hii point angeiandika Shamim ungeona jinsi watu wangekubali kuwa ni kweli.
queenkami, mambo? Uliuwasha motto siku zile afu ukakimbia, mbaya sana wewe.
Hapana! Hapana!
Ni kosa la kichwa chako kutoeshimu mabwana zako kama abou Saydou
Wewe hujui ni jinsi gani mnawapa presha awa wasanii, kila kukicha mnalilia wimbo mpya. Mara oh umezidi kuzubaa atoe nyimbo mara kwa mara kama fulani ndio matokeo yake wanakuja na vitu havieleweki. Mtu uwezo wake ni kukaa miezi 6 ndio aje na kitu kingine ila sasa analazimika akae miezi miwili. Anafanya vitu under pressure.
Mkuu ngoja nikuache.
Ila ushauri wangu kwa wadau......wakati mwingine jifunzeni kuwaelewa wasanii na nyimbo zao badala ya kuwatafutia kasoro vile tu hawajameet matarajio yenu/ ya wengi.
Mange kaongea bonge la point ila tatizo watu wengi wana hasira nae,si unajua tena yule ni enemy of the people kwa hiyo hata akiongea kitu cha maana watu wanakubali kimoyomoyo ila kwa vile wanamchukia wanaamua kumponda.Mimi mwenyewe kanitoka ka kande zilizochacha ila mnyonge mnyongeni haki yake mpeni hapa mama mzungu kaongea point.Mange ana akili ila tu ndio hivyoo jina lake linanuka kinyesi kwa jinsi anavyopenda ugomvi.Hii point angeiandika Shamim ungeona jinsi watu wangekubali kuwa ni kweli.
Hahaa I know why.
Amemuongelea Diamond ila katafuta kutumia Kiba hakuna zaidi. Kama hakumtaka kumgusia Diamond asingemwandika kabisa ikawa kiba akaleta ya Diamond later.
Huyo anaeshauri angejishauri na biashara yake kwanza ilivyo na madunda na ndio ashauri watu.
Yaani atuwekee yanayomshinda wazi afunze jamii. Sio kusema wengine kila wakati kama vile yeye hana makosa au maanguko katika biashara.
Kibongobongo katika eneo la sanaa muziki kidogo ndio unaoonyesha uhai ndio maana unaona ata sponsors wameanza kuweka pesa zao.
Uwezi kufananisha na sanaa zingine zilizojifia kama muvi, ndondi, fashion, paintings nk. Sema ndio hivyo muziki umekosa creativity siku hizi hausikii wimbo ukabaki mdomo wazi kwamba huyu mtu kichwa chake kinawaza nini. Hela imekuwa nje nje ila waimbaji ndio hakuna matokeo yake muziki unakuwa kama one man show.
Kifupi naweza sema music bado haijapoteza dira ila kunaitajika innovation fulani kunyoosha industry. Kama mnakumbuka Salama enzi zake alikuja na mtindo wa kukosoa videos watu hawakumuelewa ila tuliona wasanii wakaanza kuimprove quality za video coz walikuwa wanapata lesson japo aliwaudhi.
Huu ni mtazamo wangu tu, nnaweza nisiwe sahihi aslimia 100, sababu mwisho wa siku unaweza kuta mashabiki hicho ndio wanachopenda so siwezi kuwa nna akili mpaka ya kujua watu wengi wanataka nini. Nikupe mfano zamani kundi la Daz Nundaz wakati wanaanza game walienda kwa Majani akawafukuza akawaambia hawezi kurekodi kwaya wakaimbe kanisani jamaa wakatoka wakaenda kwa Mika Mwamba ikawa kila wanachorekodi ni wimbo wa taifa, mwisho wa siku majani akawaita mwenyewe wafanye biashara.Mkuu ngoja nikuache.
Ila ushauri wangu kwa wadau......wakati mwingine jifunzeni kuwaelewa wasanii na nyimbo zao badala ya kuwatafutia kasoro vile tu hawajameet matarajio yenu/ ya wengi.
Kama ni hivyo, hauna uelewa wa kutosha kuhusu dira ya jambo flani. Sitakusaidia kwa hili. I'm sorry
Jambo moja la msingi amezungumza, Ali kiba sasa anategemea bifu.
Mtoto wa kiume kuwa na CHUKI towards MWANAUME mwenzako...
Mleta Uzi huwa "anajifanya" anaujua sana Mziki wa Bongo, lakin cha kushangaza Kashindwa kugundua kuwa hiyo paragraph ya kwanza aliyoiquote kuhusu "music and identity" ni ya "KIJINGA" sana..identity katika Music ni kitu cha kwanza ambacho msanii yoyote is ought to Consider!! ndo maana since 90's mpaka leo tones na flows za kina Jigga, Nas, Snoop Dogg, Robert kelly, Usher, DMX etc, Now kuna kina Pharrel, Breezy, Weezy, Tyga, Drake, John legend, Jason Derulo, katy perry, T.I, Nelly Etc wameshaEstablish they're own identity, kias kwamba ukiflow au ukipita mule wanapopita u're in Trouble...
but mtu anakuja hapa na kusupport kuwa Ali kiba's Music umekuwa so identical!!!
from Run It to Loyal, Breezy anachofanya ni kubadilika kulingana na soko linavyotaka, huwez kumpata breezy wa Gimme that sahiv, au huwez kumpata Robert kelly wa The world's greatest sahiv,( ngoma ya Robert kelly mpya mmeisikia)..
Watu wanaenda na soko sahiv linataka nn, dunia inataka kuskia nn, siku hiz Drake anauza sokon zaid ya Nas Escober, Kitu ambacho mabishoo wa hatari kina MASE walishindwa (kuyapita mauzo ya kina Nas kwa single na Albums kwenye Billboard)...music ni biashara sahiv, unataka kiba atoe MackMuga sahiv??? soko la Music sahiv linataka hivyo??? asilimia kubwa ya mashabiki wa bongoFeva ipo wapi???
M-bongo ukijaribu kupinga ngoma kama Wiggle ya Jason, Roar, ngoma za Rich Gang (kina Young thug and Co.) kuwa hazina maana yoyote, anaweza akashambulia kwa matusi, lakin yupo free kuponda ngoma za kina Diamond na Kiba au Barnaba au Weusi, kuna haja gani ya kuponda ngoma za kibongo kuwa hazina maana wakat, Alejandro ya LadyGaga ikipigwa Club unacheza???
Aim ya Kiba ipo katika BIASHARA, acha Kazi yake ya Mziki imlipe..Coz Music ni Biashara siku hizi..hicho kitu kila siku NIKKI WA PILI anakisema, kama umeamua kufanya Music biashara,fanya iwe Biashara kweli!!!