Nakubaliana na Mange Kimambi kuhusu wasanii wa Bongo

ndugu yangu huu ukiba na udiamond usitufanye tuwakosee heshima mama zetu,sidhani kama mashabiki wa ukweli wa kiba wako na tabia kama yako....hata huyo kiba akiona hii comment yako atakataa wewe sio shabiki wake bali ni muhuni tu wa mtaani huko unaetumia jina la kiba kumchafua.

badilika son!
 
Ndugu yangu, huyo jamaa kwa matusi hana mfano wake na matusi yake ni lazima ayaelekeze kwa mama zetu! Huyo jamaa ameshawahi kumuita mama angu ni changu doa lakini kwavile sie wengine kupigwa huwa hatuogopi, baada ya kumvumilia sana hatimae nilishasema enough is enough! Sasa hapo ndipo utakavyomuona ni mtu wa namna gani lakini matokeo yake mashbiki wa Kiba kila siku hulalamika kwamba mashabiki wa Diamond wana matusi huku wakiacha kujichunguza wenyewe!
 
Jambo moja la msingi amezungumza, Ali kiba sasa anategemea bifu.

c.c atoto
 
Last edited by a moderator:

Mkuu umenifurahisha kwa hii comment yako. Wadada wa jf achana nao banah. We mwenyewe unawajua. Wanapenda mabwana, ndiyo maana wanajilengesha.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu..
Hivi mimi na wewe nani alimtukana mwenzake.?
Ni screen capture pm zako ulizonitukana nizilete hapa.?
Kama mimi nilikutukana kwanini wewe ndo ulipewa ban..
 
Mkuu Chinga One hii ishu yangu na data iache kama ilivo..

Huyu jamaa alinitukanaga tusi moja kwenye thread inayohusu kiba kumfunika diamond kwenye fiesta..
Lile tusi lilifanya niwaze siku nzma umuhimu wa mimi kuwa JF lakini nikavumilia..

Nikaliweka kichwani,hvo hii ni revenge,nadhani yeye anaweza kuwa amesahau lakini mimi kila nikionaga jina lake kwenye thread yoyote roho inauma..

So usijudge kitu bila kujua sababu..
 
Last edited by a moderator:
Jambo moja la msingi amezungumza, Ali kiba sasa anategemea bifu.

Mkuu..
Hivi mimi na wewe nani alimtukana mwenzake.?
Ni screen capture pm zako ulizonitukana nizilete hapa.?
Kama mimi nilikutukana kwanini wewe ndo ulipewa ban..
Nilikutukana PM kwavile mie nisingeweza kukutukana hadharani kama ambavyo ulifanya wewe... ingawaje nilikuambia mambo ya kawaida kabisa, nini kilifuata kama hukusema mie ni shoga niliezaliwa na mama kahaba? Wewe mama angu unamjua hadi useme kahaba? Lazima ukubali wewe jamaa una maneno machafu na matusi na matusi yako kila wakati lazima uwahusishe wazazi! KUna maana gani ubishi wa JF unafikia kuwaingiza hadi mama zetu waliopo njiani?? Ni mara ngapi wewe ulishawahi kunitukana, tena mara zote matusi yako ukimuhusisha mama angu mzazi na mara kibao nikakuonya hadi pale niliposema enough is enough? Na kwa kuthibitisha hilo, ndo hapo data amemzungumzia kiba lakini kinyume chake unasema itakuwa amelala na mama ake? Hivi huwezi kujenga hoja bila matusi? Na kama umezoea matusi, huwezi kutukana bila kuhusisha mama za wenzako?

Mimi nilipewa ban coz' nilishasema enough is enough lakini watu dizaini yako ni wazuri sana katika matusi lakini watu wakisha-react back mnakilmbilia ku-report! Good enough, wengine wala hatusumbuliwi na ban hata kama zinakuwa life ban!
 
Last edited by a moderator:

anhaa basi sawa but ni better uka muendea pm,sisi wengine tuna uchungu sana na hawa mama zetu so ninapo ona tusi lina mlenga mama hata kama si wangu huwa napata uchungu flani hivi.

otherwise nime kusoma it z some kind of revenge!
 
Last edited by a moderator:

yaishe mkuu yamalizeni kiume hope mtaelewana tu!
 
Mkuu ningeweza kuandika tusi alilonitukana huyo data ungenambia mimi pole na yeye ungemuambia koma..
 
yaishe mkuu yamalizeni kiume hope mtaelewana tu!
Huyo mie nimeshampotezea sema sie wengine tunapotukaniwa mama zetu huwa tunashindwa ustahimilivu... inauma na kukera kuona mama ambae hata huyo Kiba au Diamond wala JF havifahamu lakini bado anatukanwa bila kosa lolote!
 
Mkuu ningeweza kuandika tusi alilonitukana huyo data ungenambia mimi pole na yeye ungemuambia koma..

men always wanajua how to settle down disputes....malizaneni kiutu uzima tu hakuna kitakacho haribika!
 
Mkuu umenifurahisha kwa hii comment yako. Wadada wa jf achana nao banah. We mwenyewe unawajua. Wanapenda mabwana, ndiyo maana wanajilengesha.

Mjadala umehama?? Hao wadada huwa wanawalazimisha?!
 
.. data una personality disoder wewe,nyekundu utasema nyeupe...sijui una miaka mingapi..mwe!
 
Last edited by a moderator:
Cheketu, cheketua ndo Homa ya Jiji.
 
Mkuu umeniitia nini ktk comment hii ngumu?
 
Mkuu umeniitia nini ktk comment hii ngumu?
Sijakuita ndugu yangu... tujuzane tu kwamba, kuna sababu mbali mbali za kum-mention mtu! Moja ni hiyo kwamba unataka maoni yake lakini nyingine, na kubwa zaidi ni kutomtaja au kumjadili mtu behind his/her back!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…