Nilikutukana PM kwavile mie nisingeweza kukutukana hadharani kama ambavyo ulifanya wewe... ingawaje nilikuambia mambo ya kawaida kabisa, nini kilifuata kama hukusema mie ni shoga niliezaliwa na mama kahaba? Wewe mama angu unamjua hadi useme kahaba? Lazima ukubali wewe jamaa una maneno machafu na matusi na matusi yako kila wakati lazima uwahusishe wazazi! KUna maana gani ubishi wa JF unafikia kuwaingiza hadi mama zetu waliopo njiani?? Ni mara ngapi wewe ulishawahi kunitukana, tena mara zote matusi yako ukimuhusisha mama angu mzazi na mara kibao nikakuonya hadi pale niliposema enough is enough? Na kwa kuthibitisha hilo, ndo hapo
data amemzungumzia kiba lakini kinyume chake unasema itakuwa amelala na mama ake? Hivi huwezi kujenga hoja bila matusi? Na kama umezoea matusi, huwezi kutukana bila kuhusisha mama za wenzako?
Mimi nilipewa ban coz' nilishasema enough is enough lakini watu dizaini yako ni wazuri sana katika matusi lakini watu wakisha-react back mnakilmbilia ku-report! Good enough, wengine wala hatusumbuliwi na ban hata kama zinakuwa life ban!