cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
- Thread starter
- #21
Naanza na WARSAW huu ni umoja wa kujilinda wa kisoviety dhidi ya western block(NATO) au capitalist states na hii ilikufa au ilishindwa baada ya anguko la USSR 1991.Unafahamu nini kuhusiana na WARSAW PACT, Bay of Pigs Invasion na Germany Re-unification?
kwa hiyo baada ya anguko hilo nchi za east Europe zikaanza kuachana na WARSAW na kuamua kujiunga na NATO baadhi ni kama Poland, Ruthenia, Astonia nk.
Kennedy alikataa zile missile kule Cuba kwa sababu ndo kipindi kile kulikuwa na strong blocks tofauti na sasa ,unaamini kipindi kile ilikuwa ni marufuku kuingiliana kwa kila nyanja,pia hata kama wanajilinda dhidi ya umagharibi, niulize olegach wa Moscow wanakujaje wakati hii ni nchi ya kisosholist.
Na mambo ya German Unification yaliisha baada ya kuanguka kwa ukuta wa Berlin na German ikiwa moja inayoamini ubepari
Mkuu nimejitahidi au bado