Nakubaliana na mchungaji Msigwa kuwa level of thinking Tanzania imeshuka

Anza na wewe kujirekebisha kwanza. Hii sababu umejielezea wewe mwenyewe ulivyo. Umekuja kujadili kauli ya Msigwa hapa. Njoo na kitu tofauti cha kwako sio hadi Msigwa atamke.
 
Kilaza wa karne
 
We have to change first the social superstructure before improving the individual intellectual capital. Individual intellectualism grows and thrives under a conducive superstructure. Invite me for further clarification if needed.
 
Huna jema

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Tunawasubir Hao kina msigwa wataalam wa kufikir wafikirie kivip kina halima mdee na na wenzake kwa nn wataendelea kua wabunge na watabaki kua wanachama wa chadema!?
Ndio maana tumeambiwa level of thinking yetu ni ndogo hebu angali upuuzi ulioandika kuonyesha ulivyo boya.
 
Msigwa hana hadhi mbele ya watu makini
Alishawahi kukiri hadharani kusema uongo,ili tu kumchafua mtu
 
Alafu watu wenyewe wanaojifanya wanajua kukosoa, angalia wanavyoburuzwa na wanavyoongoza ovyo ovyo chama chao!
 
Alafu watu wenyewe wanaojifanya wanajua kukosoa, angalia wanavyoburuzwa na wanavyoongoza ovyo ovyo chama chao!
Mtu anajiita mkosoaji ila anabagua wapi pa kukosoa na wapi pa kunyamaza kimya hata kama kuna makosa,sasa huko ni kukosoa kweli?
 
Shida iliyopo ni kuamini kuwa Rais ndiyo mtu anaweza kuwaza sahihi kuliko watu 55M, hivyo huwezi kushauri chochote kikafanyiwa kazi sababu watawala wote wanaamini ni mtu mmoja tu ndiyo ana mawazo sahihi wengine wote ni wrong.
 
Wakati nsjiunga JF nilikua naipenda, sababu mijadala mingi, ilikua ya namna hiyo. Yenye tija na kufikirisha

Siku hizi sioni posts nyingi za namba hiyo. Imejaa Siasa na posts zenyewe hata kwenye hizo siasa hazina mantiki.

Ni porojo, Matusi ya rejareja na Kejeli
 
Kwa wenye kufikiria, na kupenda mijadala ya kufikirisha , rudisheni JF Ile

Posts za Kejeli, porojo zina jukwaa lake.

Huko fresh tu ku post chochote tuta like na kucomment.

Ila Kama mtu kaanzisha mjadala wa siasa au Jambo lolote lenye maana , halafu mtu akapost Kejeli au upuuzi mwingine, Ni vyema , kuto like au kuhamisha mjadala kujibi hiyo post.

Ili tuwe jamii yenye kujifikirisha .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…