👍👍Nakubaliana kabisa na Rais Magufuli kwamba kwa sasa wizara zisimamiwe na makatibu wakuu chini ya usimamizi wa Waziri mkuu mh Majaliwa..
Maendeleo hayana vyama!
Mnawaumiza CCM wenzenu...wanaotaraji Teuzi....makada mtawaua kwa presha safari hiiNakubaliana kabisa na Rais Magufuli kwamba kwa sasa wizara zisimamiwe na makatibu wakuu chini ya usimamizi wa Waziri mkuu mh Majaliwa.
Maswala ya ulinzi na usalama wa ndani yaendelee kusimamiwa na CDF Mabeyo na IGP Sirro wanaoripoti moja kwa moja kwa Amiri jeshi mkuu....
Kabudi katia fora,kajikuta kasema "mheshimiwa Mungu",akajishtukia na kurekebisha na kusema mheshimiwa Rais! Nidhamu ikipitiliza inakuwa uoga na si nidhamu tena!
Nways,baraza la mawaziri ni muhimu liwahi kupatikana haraka iwezekanavyo!Tatizo Rais hawaamini watu wanaomsaidia kufanya vetting!
Hayo ni yako, mimi nimesema kilichojiri!mtoto akikosea badala ya kuita kaka akaita baba,tunasema amejipendekeza!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
nyie ni wagonjwa wa akili,ila hamjajua.
kwamba inawezekana kabisa kabudi alikusudia kumuita magu Mungu!!!na ndio unataka kuwaaminisha wana jf wote ndivyo kabudi alitaka kumaanisha!!
Kuna mjomba wangu nilikua namkubali kinoma alafu namuogopa namuambia shikamoo kila baada ya dakika 5 hadi akaniambia kuanzia leo salamu ni moja tu, ukizidisha salamu nitakua na kutia konzi moja kwa kila salamu utakayokua unanipa. Nikajirekebisha nikawa namsalimia mara moja tu kwa utulivu.Umenikumbusha henzi za utoto unamwogopa mtu hai unamwamkia mara mbili, unazunguka ukikutana nae dakika 2 unampiga tena shikamoo....
Aisee comrade hapa tayari umepanicWewe unainyonya sana hapo Ufipa hadi una kigugumizi!
Anataka kupima uwezo wa makatibu wakuu kufanya kazi bila wanasiasa. Kama performance ya Ma-KM italeta matokeo chanya na ya kasi basi huenda tusiwe na manaibu mawaziri.Nakubaliana kabisa na Rais Magufuli kwamba kwa sasa wizara zisimamiwe na makatibu wakuu chini ya usimamizi wa Waziri mkuu mh Majaliwa...
Mheshimiwa Mungu [emoji848][emoji848][emoji848]Kabudi katia fora,kajikuta kasema "mheshimiwa Mungu",akajishtukia na kurekebisha na kusema mheshimiwa Rais!
Nidhamu ikipitiliza inakuwa uoga na si nidhamu tena!
Nways,baraza la mawaziri ni muhimu liwahi kupatikana haraka iwezekanavyo!Tatizo Rais hawaamini watu wanaomsaidia kufanya vetting!
Hayo ni yako,mimi nimesema kilichojiri!
Sijui,muulize yeye!mbona hata ukasuku umekushinda!!!
wewe umeongeza na ya kichwani kwako,kabudi kawa mpumbavu kiasi gani kumuita Magu Mungu makusudi???
Nimekuelewa bwashee!Wabunge wamekuwa na kasumba ya kupigana vikumbo kutafuta uwaziri na mbaya zaidi hutengenezwa kambi. Hii itakigaawa chama.Mzee baba piga kazi na katibu wakuu hadi 2022 ndipo ulete mawaziri.
Duh haya bana wengine ndiyo kumekucha ngoja tujiandae kuingia maeneo.Wewe utakuwa huna bando!
Kazi zinafanyika ndio maana tumefika uchumi wa kati!
Ukipita jangwani niambie kama barabara imefunguliwa bwashee!Duh haya bana wengine ndiyo kumekucha ngoja tujiandae kuingia maeneo.
Nyie endeleeni kutuabarisha tu+maubishi yenu [emoji23][emoji23]
Ova