Nakubaliana na Rais Magufuli. Hakuna haraka yoyote ya kuunda Baraza la Mawaziri. Prof. Kabudi na Dkt. Mpango wanatosha kwa sasa!

Nakubaliana na Rais Magufuli. Hakuna haraka yoyote ya kuunda Baraza la Mawaziri. Prof. Kabudi na Dkt. Mpango wanatosha kwa sasa!

Wawepo wasiwepo hakuma tofauti yeyote.,.sauti ni moja from a single point..there is no why...no how!!
 
Nakubaliana kabisa na Rais Magufuli kwamba kwa sasa wizara zisimamiwe na makatibu wakuu chini ya usimamizi wa Waziri mkuu mh Majaliwa.

Maswala ya ulinzi na usalama wa ndani yaendelee kusimamiwa na CDF Mabeyo na IGP Sirro wanaoripoti moja kwa moja kwa Amiri jeshi mkuu....
Mnawaumiza CCM wenzenu...wanaotaraji Teuzi....makada mtawaua kwa presha safari hii
 
Kabudi ni akili kubwa.... najua wala hakukosea kwa bahati mbaya kusema mheshimiwa Mungu, anajua boss wake anataka nini, amini nakuambia kuna siku Kabudi atakua waziri mkuu, au rais kabisa akiongeza juhudi kidogo tu.
 
Kabudi katia fora,kajikuta kasema "mheshimiwa Mungu",akajishtukia na kurekebisha na kusema mheshimiwa Rais! Nidhamu ikipitiliza inakuwa uoga na si nidhamu tena!

Nways,baraza la mawaziri ni muhimu liwahi kupatikana haraka iwezekanavyo!Tatizo Rais hawaamini watu wanaomsaidia kufanya vetting!

Mtoto akikosea badala ya kuita kaka akaita baba, tunasema amejipendekeza!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

nyie ni wagonjwa wa akili, ila hamjajua.

kwamba inawezekana kabisa kabudi alikusudia kumuita magu Mungu!!!na ndio unataka kuwaaminisha wana jf wote ndivyo kabudi alitaka kumaanisha!!
 
mtoto akikosea badala ya kuita kaka akaita baba,tunasema amejipendekeza!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

nyie ni wagonjwa wa akili,ila hamjajua.

kwamba inawezekana kabisa kabudi alikusudia kumuita magu Mungu!!!na ndio unataka kuwaaminisha wana jf wote ndivyo kabudi alitaka kumaanisha!!
Hayo ni yako, mimi nimesema kilichojiri!
 
Umenikumbusha henzi za utoto unamwogopa mtu hai unamwamkia mara mbili, unazunguka ukikutana nae dakika 2 unampiga tena shikamoo....
Kuna mjomba wangu nilikua namkubali kinoma alafu namuogopa namuambia shikamoo kila baada ya dakika 5 hadi akaniambia kuanzia leo salamu ni moja tu, ukizidisha salamu nitakua na kutia konzi moja kwa kila salamu utakayokua unanipa. Nikajirekebisha nikawa namsalimia mara moja tu kwa utulivu.
 
Nakubaliana kabisa na Rais Magufuli kwamba kwa sasa wizara zisimamiwe na makatibu wakuu chini ya usimamizi wa Waziri mkuu mh Majaliwa...
Anataka kupima uwezo wa makatibu wakuu kufanya kazi bila wanasiasa. Kama performance ya Ma-KM italeta matokeo chanya na ya kasi basi huenda tusiwe na manaibu mawaziri.

Pia wabunge lazima wapimwe kwa miezi 6 kuona uwajibikaji wao kwa wananchi.By the way accounting officers ni katibu mkuu.Hawa mawaziri ni popularity tooooo.
 
Kabudi katia fora,kajikuta kasema "mheshimiwa Mungu",akajishtukia na kurekebisha na kusema mheshimiwa Rais!
Nidhamu ikipitiliza inakuwa uoga na si nidhamu tena!

Nways,baraza la mawaziri ni muhimu liwahi kupatikana haraka iwezekanavyo!Tatizo Rais hawaamini watu wanaomsaidia kufanya vetting!
Mheshimiwa Mungu [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Wabunge wamekuwa na kasumba ya kupigana vikumbo kutafuta uwaziri na mbaya zaidi hutengenezwa kambi. Hii itakigaawa chama.Mzee baba piga kazi na katibu wakuu hadi 2022 ndipo ulete mawaziri.
 
Hahaha sio kwamba hakuna haraka ni kwamba hawana kazi za kufanya zaidi ya kulisha matumbovyai na familia zao.
 
Wabunge wamekuwa na kasumba ya kupigana vikumbo kutafuta uwaziri na mbaya zaidi hutengenezwa kambi. Hii itakigaawa chama.Mzee baba piga kazi na katibu wakuu hadi 2022 ndipo ulete mawaziri.
Nimekuelewa bwashee!
 
Duh haya bana wengine ndiyo kumekucha ngoja tujiandae kuingia maeneo.

Nyie endeleeni kutuabarisha tu+maubishi yenu [emoji23][emoji23]

Ova
Ukipita jangwani niambie kama barabara imefunguliwa bwashee!
 
Akili zenu mmeshikiwa na mwenyekiti.
Lolote analosema hewara baba
 
Back
Top Bottom