Nakubaliana na Rais Magufuli. Hakuna haraka yoyote ya kuunda Baraza la Mawaziri. Prof. Kabudi na Dkt. Mpango wanatosha kwa sasa!

Nasikia ni kwa sababu hakuna hela na mawaziri wataongeza gharama ikabidi ateue hao ili kuona pesa inayoingia na nini watafanya kwenye diplomasia ili kupata ahueni na mwelekeo na Mpango ni wa kuzisaini. Ni tetesi za kitaa lakini
 
Acha uongo wewe, nani anataka na ni kikao gani, ccm siyo kama chadema ile ni taasisi kamili, mambo hayaendeshwi kimajungumajungu. Umemsikia jana akisisitiza performance na siyo kugawana vyeo kwa ratio.Poor comment
 
Nasikia ni kwa sababu hakuna hela na mawaziri wataongeza gharama ikabidi ateue hao ili kuona pesa inayoingia na nini watafanya kwenye diplomasia ili kupata ahueni na mwelekeo na Mpango ni wa kuzisaini. Ni tetesi za kitaa lakini
Unasikia!!!!!!! yawezekana ni uongo so huhitaji kuleta majungu humu
 
hata kama ingawa sikusikia.inafahamika mtu unaweza kuteleza.kisa kipo katika al hadith."kulitokea zama fulan msafir mmoja alikua jangwan sasa katika safar na ugumu wa jangwa alifika.mahali akapumzika, akapitiwa na usingiz,ulivompitia kuja kuamka akakuta mnyama wake hayupo na ndio tegemez wake maaana alikua kabeba kila.kitu chakula,maji kila kitu cha kumfaa.alijawa na huzun sana akawa anatembea tu na kwenda sasa bila kuwa nachochote.kaenda sana mwishoe mbele kabisa baada ya masiku kadhaa akamkuta mnyama wake Na kila kitu,kwa ile furaha akasema ee mwenyezimung mim ndio mola wako na wewe mja wang.kwa furaha.lakin hakuwa na.kosa n8 kupitiwa na maneno na furaha.'
uache wivu wewe kama hukupata nafas maishan mwako kaa ushukuluu baah.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwani wewe huyu bwana hata akijitangaza kuwa kawaida IGP si utakubaliana naye tu alimradi mkono uende kinywani?
 
Hayo yote ya nini?Mimi nimesema nidhamu ya uoga umemfanya ajisahau na kusema "muheshimiwa Mungu"!
Hayo mengine ya kwako!
 
Kuna kitu usichokubaliana naye? Naona unajichanganya tu mara rasimu ya Warioba na mliitupa kapuni, mara baraza litakuwa dogo <20, mara baada ya miezi 3-6. Wewe na mzee wako jiwe wote mmekutana akili moja.
Bwashee, kwani kuna tatizo hapo. Subiri serikali itengeneze mifumo imara maana mawaziri wengine huwa ni kivuruge tuu, hawana jipya. Nakiwatumia hao wachawi wao ndiyo wanawaona watumishi wenye professional zao kama magarasa tuu. Hawashauriki pumba kabisa. Acha mh rais apige kazi kwa miezi sita tuone kwanza, atengeneze misingi yeye na KM wa wizara husika ili hao vivuruge wakija washindwe kuvuruga.
 
Mkuu, uko serious kweli? kwani atakaowachagua kwenye baraza anawatoa sayari nyingine? Mbona wanafahamika tangu wanapitishwa na vikao vya chama kuwa wagombea ubunge? kama anataka nje ya hao si ana nafasi 10 za kuteua wabunge? Mnacheza kweli na nchi hii, yaani kama vile mtu anaongoza familia yake anavyotaka. Najua soon atateua.
 
Niliona Wagombea wetu wa Urais wa Dada walitaka kutwangana na TBC akashikilia Camera hapo hapo
 
Sema hayana chama, kwani vyama mmesha vikataa kwa kuamini vinawacheleweshea maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…