DON YRN
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 606
- 1,453
Kakwambia walitelekezwa sababu gani?, unaamini kwamba walitelekezwa sababu ya baba kupata mwanamke mwingine?.We can make productive reasoning without insulting each other.
Nimekuwa city centre of Dar es salaam, karibu kabisa na Dogodogo centre, kwahiyo najua kuna sababu tofauti zinazosababisha kuwa na watoto wa mitaani, but I don't understand your point.
Ukiongea kuhusu vita ya kifamilia, mimi binafsi as a father, nakuhakikishia hakuna mtu atachukua mtoto wangu. I'll protect them by any price.
Mkuu hapa anatuambia wametelekezwa na baba yao, hii mambo ya vita ya kifamilia ni story kutoka wapi?
Naamini baba kupata mwanamke mwingine ilikuwa second & best solution kwenye maisha yake kwa kipindi hicho.
Hakuna ajuaye yote lkn pia nikudokezee tu., baba anaweza kumfanyia mke ukatili wa kijinsia kimwili lkn mwanamke anaweza kumfanyia mwanaume ukatili wa kiakili na mwanaume akapata uchizi...ndoa zina siri sana mzee baba na haya masuala siyo ya kulaumu upande mmoja tu