Huo ndo ukweli, just waitMbona unatisha bachelor
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndo ukweli, just waitMbona unatisha bachelor
Sisi KATAA NDOA hatukimbii familia naona hamjatuelewa, Sisi HATUOI yaani hatuingii kwenye gungamano NDOA. watoto tunao na tunawapa vizuri Tu ila WAKE hakuna na hatuwezo kuwa nao.Kataa Ndoa wanaokimbia familia hapa Hutawaona
Mtafute baba ako umsikilize nae ana lipi la kusema kwa upande wake.Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo
Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yoyote ya mama na sisi wanafunzi, Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi twende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari, sabuni na matumizi mengine.qq
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Kwanza pole sana kiongozi, hii huwa inaumiza mno.Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo
Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yeyeto ya mama na sisi wanafunzi,
Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi tuende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari,sabuni na matumizi mengine,
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Mkuu mahusiano yana Mambo mengi we unaweza kumuona Baba yako ana roho mbaya kumbe amerogwa wanawake wabaya sana kwenye Mambo ya ndoa.Mimi dingi yangu aliwahi ninyima chakula siku kadhaa na wanakula hapo na mke wake (mama wa kambo). Wanakucheka!!
Niliwahi kuumwa kwa kuzidiwa kabisa nimelala karibu na uwani kwasababu nilikuwa natapika saaana (wakati mzee anatoka bafuni na mkewe ikabidi nimwombe angalau ela niende hosp kucheki maana hali ni mbaya) " kauli aliyoniambia ni kwamba we unayo?'" yaani hio ela nnayo omba mi nnayo?? Ikabidi niseme Sina.. nayeye akajibu Hana pia!!
Niliwahi fukuzwa home, sio mara moja!
All in all mzee wangu (dingi) namkubali sana pamoja na yote..
Nilishaapa sana kwamba haitakuja kutokea nimkubali!! Lakn ndo hivyo akiwa na shida akikucheki tu! Mtu upo tayri uazime ela sehem umtumie (I don't know hii Hali inakuwaje kuwaje)
Darasa la tatu bado ni mdogo sana kuelewa nini kipo nyuma ya pazia kwenye mgogoro wa wazazi wakomama alikuwa na wiki mbili tangu ajifungue. Wakati mimi nasoma darasa la tatu 2011 rudia kusoma post yangu mkuu.
Mnakataa kuoa na kuishi na mwanamke, hamtaki stress za mwanamke. Mtakuwa na vizazi vya hovyo sana, kuwaachia wamama kulea watoto peke yao ni kuwabebesha mzigo mzito.Tunakataa kufunga ndoa sio kuishi na mwanamke.
Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo
Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yoyote ya mama na sisi wanafunzi, Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi twende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari, sabuni na matumizi mengine.qq
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Kumbuka kuna ishu ya kubambikiwa mtoto uko kwenye ndoa. Hapo busara ni dogo kumtafuta mshua asikilize na story ya upande wa pili.Kwanza pole sana kiongozi, hii huwa inaumiza mno.
Nawaona watu wanajaribu ku-excuse tabia zisizofaa kwa kisingizio labda mama yako ndiyo alikua na shida.
Hata kama ingekua ni ukweli, kwani ukikorofishana na mkeo ndiyo unaacha kua baba na kujitoa kabisa kwenye kuhudumia watoto wako? Baba unawezaje kumtelekeza mama watoto wako na kichanga cha wiki mbili 😢 na watoto wengine saba.
Watu kama mzazi wako wapo wengi na ni mwiba sana kwenye jamii. Kaa naye mbali huyo mzee, ni mwanaume mwenye uwezo wa kuzalisha ila siyo baba!
Nadhani kumchukia baba yako sio ishu hata kidogo haimuongezei wala kumpunguzia kitu.Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo
Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yoyote ya mama na sisi wanafunzi, Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi twende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari, sabuni na matumizi mengine.qq
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Mtoa nyuzi amesema mzee alirudi na ameozesha watoto wake wa kike wa3 na kuchukua mahari. Kama kungekua na ishu ya kubambikiwa watoto iliyomfanya awatelekeze, je angerudi kwenye haya?Kumbuka kuna ishu ya kubambikiwa mtoto uko kwenye ndoa. Hapo busara ni dogo kumtafuta mshua asikilize na story ya upande wa pili.
Mkuu shem alichepuka ukamsamehe.
Usibebwe na mkumbo wa mitandao ya kijamii.mama yangu tangu aolewe na baba mwaka 1986 hadi leo hawawahi kuzaa na mwanamme mwngn tofauti na baba yangu mimi, na tuko watoto 8 je mama ni singe maza?
Whatever it is, sio sawa kutoa hukumu kwa kusikiliza upande mmoja, sana sana kwenye ugomvi wa wazazi ambao wewe ulikua bado mdogoMtoa nyuzi amesema mzee alirudi na ameozesha watoto wake wa kike wa3 na kuchukua mahari. Kama kungekua na ishu ya kubambikiwa watoto iliyomfanya awatelekeze, je angerudi kwenye haya?
chuki haitakusaidia chochote,bali itazidi kukuumizaWakuu,