Sala je!ningesali na kupiga story na mwanangu
kaka nimesema ningesaliSala je!
Oooh kweli nimeona, habari za leo dadangu, anko wangu mzima?kaka nimesema ningesali
Mkuu mwanao anaumri gani!? Na je utapiga nae story gani!? Utamwambia any of this!? Kwa style gani!? Kwa mlengo gani!? Wat if usipomwambia na akaja kujua kua ulikua na nafas ya kumwambia and u didnt!? [HASHTAG]#Assumptions[/HASHTAG]ningesali na kupiga story na mwanangu
ana mwaka mmoja , kama mama siwezi mwambia vitu vya kumuumiza sitamwambia kama namwacha, nitamweleza mambo mengi mazuri duniani ya kufanya japo hata nielewa ila atasikia ,najua akija kuwa mzazi na yeye atajua kwa nini mama hakuniambia kuwa namwachaMkuu mwanao anaumri gani!? Na je utapiga nae story gani!? Utamwambia any of this!? Kwa style gani!? Kwa mlengo gani!? Wat if usipomwambia na akaja kujua kua ulikua na nafas ya kumwambia and u didnt!? [HASHTAG]#Assumptions[/HASHTAG]
Una mtoto ati? .hongeraningesali na kupiga story na mwanangu
This is just so great! Mkuu unamawazo mapana sana! Bigup [emoji123][emoji123][emoji123]ana mwaka mmoja , kama mama siwezi mwambia vitu vya kumuumiza sitamwambia kama namwacha, nitamweleza mambo mengi mazuri duniani ya kufanya japo hata nielewa ila atasikia ,najua akija kuwa mzazi na yeye atajua kwa nini mama hakuniambia kuwa namwacha
Pole tenaMkuu ukishakufa ndo umemaliza hivyo.. pumziko la milele.. Dunia ipo milele na milele no end.
mzima sana kaka ..Oooh kweli nimeona, habari za leo dadangu, anko wangu mzima?