Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,165
- 16,791
ni kweli ila kwa siku ya mwisho ni vizuri zaidiNi vizuri kutubu kika siku mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli ila kwa siku ya mwisho ni vizuri zaidiNi vizuri kutubu kika siku mkuu
[emoji111] [emoji123] factMwenyezi Mungu anaweza akakufahamisha kuwa utakufa baada ya masaa 12, ndio anaweza.
Lakini ikawa wakati huo uko katika moja ya vitanda vya Hospitali, upo unatweta kama ng'ombe anayechinjwa na maumivu ya kila pahala, kila kitu unafanyiwa kuanzia kubwa hadi ndogo unasaidiwa. Wakati huo nafsi yako inaona lango la mauti lile pale. Na daktari keshathibitisha wewe utaondoka ni swala la muda tu.
Haya Gegeda sasa.
Dah,inabidi kusubiri tu maana Hanna namna sasaNdiyo mkuu
Kafiri ni nan mzee tufafanulie sababu za kumuita binadam mwenzio kafiri?Muislamu hawezi kuandika hivi..
Huyu atakua Kafiri.
huu ni uchochezi padriKafiri... Binadamu yeyote asiyeamini katika Qur'an na sunna za Mtume Muhammad SAW
Kabisa mkuuDah,inabidi kusubiri tu maana Hanna namna sasa
Hacha udini ww Muislamu aweze kujitoa muhanga ashindwe kuandikaMuislamu hawezi kuandika hivi..
Huyu atakua Kafiri.