Nakufa baada ya masaa 12, nifanye nini?

Nitaassassinate kiongozi mkorofi yeyote duniani ambaye ni mkorofi na anasumbua mno wananchi.
 
Ningeenda kumtandika kibao kimoja kitakatifu rc wa dar na mateke ya haja.
 


Mtukane fisadi Lowasa na Tundu Lisu kwa mara ya mwisho ili uende Peponi!
 
Kamuda hakatoshi[emoji6][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Unajua, Unapokuwa hai ndipo Unapochagua Maisha gani utaishi baada ya Kufa.
Uchaguzi wako ukiwa mzuri huwezi kuogopa kufa, kwasababu duniani hakuna mambo mazuri kuliko uendako.
Ila kama ulijiandaa vema.
Mm ningepoteza Mawazo kwa Kufunga na Kuomba kwa Mungu wangu hadi hapo ataponichukua.
 
Nakula vyakula vyote vilivyopo ili kama nitapata kipigo niwe nimeshiba..
 
Ningeenda nyumbani na kuwapikia chakula kizuriii na kula pamoja... Baada ya hapo ninhekaa nao tunapiga story na kucheka mpaka kifo kitakaponifikia.
 
Wewe wacha kutudanganya na matango pori... Unawezaje kusemea sehemu usiyoijua... Duniani kutamu bana asikwambie mtu.. Wapo maskini wanaoshindia mlo mmoja per dei bt hakubali kabisa kwenda huko kusikojulikana
 
Dwayne is the part of living,sie tunausubiri urithi usioharibika,ulio kamili,kifo kwetu ni usingizi wa muda tu
 
ana mwaka mmoja , kama mama siwezi mwambia vitu vya kumuumiza sitamwambia kama namwacha, nitamweleza mambo mengi mazuri duniani ya kufanya japo hata nielewa ila atasikia ,najua akija kuwa mzazi na yeye atajua kwa nini mama hakuniambia kuwa namwacha
Bado ananyonya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…