mosabiy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,521
- 1,927
Haya matuc au?yaan ww ht nifungiwe na ww rum 1 utakesha..ht kunibaka huwez ww..
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya matuc au?yaan ww ht nifungiwe na ww rum 1 utakesha..ht kunibaka huwez ww..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tunajuana
Ameshasema ni pabaya[emoji23][emoji23]Shuka hapohapo maisha popote
Huwezi kujua
Sent from my SM using Tapatalk
Hivi vyakula mnauziwa humo humo mkuu?Hapa Itigi Singida ni kubaya kwa kweli, Pamepoa mnoooo! Nyumba zenyewe hata hazieleweki.
Kapoteza bahati shauri zakeAmeshasema ni pabaya[emoji23][emoji23]
😂😂😂😂harisi mkuuNi Harisi au Halisi? Nisameheni kwa hilo!
pamoja chifuSawa mkuu, nitaleta Update zote mpaka maisha harisi nitakayo kutana nayo hapo Dar.
Anataka magorofani ndiyo akatafutie maisha huko[emoji23][emoji23][emoji23]. Ila mkuu jua amekimbia jembe huko kigoma sasa akishuka Itigi atafanya niniKapoteza bahati shauri zake
Anafikri maisha ni flyover hahaha
Sent from my SM using Tapatalk
Utajuaje ana id zingine toka zamani?Mwandiko tu, umekutambulisha!
Karibu sana Jamii forums, hapa ni kwa ajili ya Great thinkers, na taratibu utajifunza!![emoji2]View attachment 983823
Sent using Jamii Forums mobile app
Magorofani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anataka magorofani ndiyo akatafutie maisha huko[emoji23][emoji23][emoji23]. Ila mkuu jua amekimbia jembe huko kigoma sasa akishuka Itigi atafanya nini
Kuna kuku wengi sana hapo na watam sana Bora angeanzia hapo!Ameshasema ni pabaya[emoji23][emoji23]
Nani anataka kutafuta maisha kijijini[emoji23]
Kila mmoja anahemea flyover[emoji23][emoji23]Nani anataka kutafuta maisha kijijini[emoji23]
Hahahha kumbuka anatafuta maisha lakini.Kuna kuku wengi sana hapo na watam sana Bora angeanzia hapo!
Staili ya uandishi wa candidate tu, unatosha kusadifu yaliyomo.Utajuaje ana id zingine toka zamani?
Kuna kitu kinaitwa server kiko kama beseni huwa kinauzwa bei inategemana na ukubwa wake ila si chini ya 100K sasa ukijaza makapi badala ya nafaka nzuri huoni kama itakuwa hasara.Hapa Itigi Singida ni kubaya kwa kweli, Pamepoa mnoooo! Nyumba zenyewe hata hazieleweki.
Anategemea kuyaona!! Ebow ataremke tu aanze kulala ata stand hakuna namna asahau smart phone kabisa!Hahahha kumbuka anatafuta maisha lakini.
Hajayaona hapo[emoji23][emoji23]