Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Hapa Itigi Singida ni kubaya kwa kweli, Pamepoa mnoooo! Nyumba zenyewe hata hazieleweki.
Kuna kitu kinaitwa server kiko kama beseni huwa kinauzwa bei inategemana na ukubwa wake ila si chini ya 100K sasa ukijaza makapi badala ya nafaka nzuri huoni kama itakuwa hasara.
SHTUKA BRO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…