Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Ungemwambia sawa. Unataka akuambie kila kitu public hapa au we ni dogo janja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ku fake kaka.
haupo seriosly unawaharibia wenzako wenye uhitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninunulie Asari, kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I concur with you!
Sema nini angekuwa mchaga angeshuka afanye fursa iliyopo. Ila huyo shida yake ni magorofa ya town boss.[emoji23][emoji23]
 
Sawa bana Mpuuzi, wafikishie wapuuzi wenzako salamu waambie kulikoni tupo miaka 57 ya uhuru, lakini ukisafiri kutoka mwisho wa reli(Kigoma ujiji) kwenda Pwani/Dar es Salaam unachukua siku 3?
Na mkijengewa reli mpya pia mnaponda hamueleweki kwakweli mnalolitaka
 
Wakuu, Kwanza simu iliishiwa chaji, ikanibidi niipeleke chaji hapa Dodoma, kwa kuwa Treni imesimama hapa kwa wastani wa Dakika 30 hivi.
Kwahiyo mpaka tunakaribia kuondoka, ilikuwa imepata chaji kiasi!
Nakuja Dar Wakuu, Nipokeeni.
 
Dodoma kumbe ni kubwa bwana, maana si kwa mataa haya!
 
Mie nimefika huko mkuu...alafu nimegundua ukiweza kujimix na watu deal nje nje..nlipata deal kubwa sana kigoma..ni vile nipo chini ya himaya ya mtu tu..!mkoa ambao siwez kuishi wenye dini fulan hv maendeleo huwa yanakuja kwa shida sana
"Umefika" "Ulipata deal kubwa sana Kigoma" "upo chini ya himaya ya Mtu"... Kauli hizo juu,zinanipa wasiwasi kiasi...1.kama ulifika na ukaona fursa tena kirahisi kabisa na ukagundua kuwa ukijimix na watu deal zinakuwa nje nje,iweje hilo deal kubwa sana usilifakamie kwa hamu zote utusue zaidi ya hapo ulipo(hali yoyote uliyonayo kiuchumi kabla na sasa)
2.Huyo mtu uliyechini ya himaya yake(bilashaka atakuwa mume(kwa nilivyoelewa) hapendi maendeleo yenu kiuchumi kiasi gani hadi ashindwe kuku-support kwenye hilo deal kubwa as hata yeye atanufaika kwa namna moja ama nyingine?
UDINI..hapa ningeomba ufafanue,mkoa unaozungumzia wenye udini(haswa "dini flani") ambao hauwezi kuishi ni Kigoma??

Sent using Jamii Forums mobile app
 


huelewi.kitu bora ukae kimya...
 
Mh. Waha sijui kuna tatizo gani?
Umeacha mashamba
Umeacha mipaka ya burundi na kongo
Umeacha vibarua kwa wawekezaji
Umeacha uuzaji wa samaki.
Umeacha uaminifu wa wafanya biashara.
Umeacha ufugaji wa ndege na wanyama
Umeacha uzoefu
Umeacha sido


Umekimbilia dar, aseee nikusihi tuu ni bora ungetumia majukwaa ya humu kujiendeleza huko huko kigoma.

Siri

Uchunge sana siku hizi dili kubwa huko mjini kwa watu kama nyie ni kufanywa mashoga huku unalipwa chakula na pa kulala.

Mwisho

Wewe ni mpumbavu na utakuwa inatoroka na sio kutafuta maisha
Dar ya leo siyo ile ya zamani
.
Umevutiwa na yale maisha ya kwenye bongo movie ambayo hata waigizaji wenyewe hawana.
Tumetoka Dodoma stesheni muda Kidogo nyuma uliopita!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…