Badala ya kufuraia we unakosoa hapo unafanya utalii wa ndani wa kutosha na. Kama train ina kunguni inakupa nafasi ya kupata study mpya za maisha ungekuwa na haraka ungetumia usafiri mwingineSawa bana Mpuuzi, wafikishie wapuuzi wenzako salamu waambie kulikoni tupo miaka 57 ya uhuru, lakini ukisafiri kutoka mwisho wa reli(Kigoma ujiji) kwenda Pwani/Dar es Salaam unachukua siku 3?
Kwa yote hayo, Ahsante!Mh. Waha sijui kuna tatizo gani?
Umeacha mashamba
Umeacha mipaka ya burundi na kongo
Umeacha vibarua kwa wawekezaji
Umeacha uuzaji wa samaki.
Umeacha uaminifu wa wafanya biashara.
Umeacha ufugaji wa ndege na wanyama
Umeacha uzoefu
Umeacha sido
Umekimbilia dar, aseee nikusihi tuu ni bora ungetumia majukwaa ya humu kujiendeleza huko huko kigoma.
Siri
Uchunge sana siku hizi dili kubwa huko mjini kwa watu kama nyie ni kufanywa mashoga huku unalipwa chakula na pa kulala.
Mwisho
Wewe ni mpumbavu na utakuwa inatoroka na sio kutafuta maisha
Dar ya leo siyo ile ya zamani
.
Umevutiwa na yale maisha ya kwenye bongo movie ambayo hata waigizaji wenyewe hawana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani kwa maoni na mtazamo wakoBadala ya kufuraia we unakosoa hapo unafanya utalii wa ndani wa kutosha na. Kama train ina kunguni inakupa nafasi ya kupata study mpya za maisha ungekuwa na haraka ungetumia usafiri mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Angeuza simu anayoitumia akaongezea kwenye nauli alolipa pamoja na malazi ya njiani ungekuwa mtaji tosha huko kwao kigoma angeanza kuchoma mahindi au kuuza karanga kukimbilia hapa mjini itamcost
Kuyaandika hapa tu, ni rahisi sana!Huko angeanza tuu na ufugaji wa kuku kwani huko chakula cha kuku kinapatikana kwa wingi.
Angefanya hivo angeweza hata kuwa anafuata sabuni pale sido anaenda kuzipanga mwandiga ama mjini?
Angefanya hivo angeweza kufuata mikungu ya ndizi hata miatono hapo manyovu kwa 6000 mpaka 7000 akifika mjini angeuza kwa bei ya leja leja.
Angefanya hivo angeweza kufuata sagaa pale kibilizi ama katonga na kuzileta mjini na akafunga kwenye vipakti
Angefanya hivo angeweza hata kufanya n.k nyiingi sana, huo mkoa ni full fursa aseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulikuwa sawa kiuchumi na Korea, leo Korea wapo wapi kiuchumi...Na mkijengewa reli mpya pia mnaponda hamueleweki kwakweli mnalolitaka
[emoji23][emoji23][emoji23]Shuka hapohapo maisha popote
Huwezi kujua
Sent from my SM using Tapatalk