Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Sawa bana Mpuuzi, wafikishie wapuuzi wenzako salamu waambie kulikoni tupo miaka 57 ya uhuru, lakini ukisafiri kutoka mwisho wa reli(Kigoma ujiji) kwenda Pwani/Dar es Salaam unachukua siku 3?
Badala ya kufuraia we unakosoa hapo unafanya utalii wa ndani wa kutosha na. Kama train ina kunguni inakupa nafasi ya kupata study mpya za maisha ungekuwa na haraka ungetumia usafiri mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh. Waha sijui kuna tatizo gani?
Umeacha mashamba
Umeacha mipaka ya burundi na kongo
Umeacha vibarua kwa wawekezaji
Umeacha uuzaji wa samaki.
Umeacha uaminifu wa wafanya biashara.
Umeacha ufugaji wa ndege na wanyama
Umeacha uzoefu
Umeacha sido

Umekimbilia dar, aseee nikusihi tuu ni bora ungetumia majukwaa ya humu kujiendeleza huko huko kigoma.

Siri

Uchunge sana siku hizi dili kubwa huko mjini kwa watu kama nyie ni kufanywa mashoga huku unalipwa chakula na pa kulala.

Mwisho

Wewe ni mpumbavu na utakuwa inatoroka na sio kutafuta maisha
Dar ya leo siyo ile ya zamani
.
Umevutiwa na yale maisha ya kwenye bongo movie ambayo hata waigizaji wenyewe hawana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa yote hayo, Ahsante!
 
Huko angeanza tuu na ufugaji wa kuku kwani huko chakula cha kuku kinapatikana kwa wingi.

Angefanya hivo angeweza hata kuwa anafuata sabuni pale sido anaenda kuzipanga mwandiga ama mjini?

Angefanya hivo angeweza kufuata mikungu ya ndizi hata miatono hapo manyovu kwa 6000 mpaka 7000 akifika mjini angeuza kwa bei ya leja leja.

Angefanya hivo angeweza kufuata sagaa pale kibilizi ama katonga na kuzileta mjini na akafunga kwenye vipakti

Angefanya hivo angeweza hata kufanya n.k nyiingi sana, huo mkoa ni full fursa aseee
Angeuza simu anayoitumia akaongezea kwenye nauli alolipa pamoja na malazi ya njiani ungekuwa mtaji tosha huko kwao kigoma angeanza kuchoma mahindi au kuuza karanga kukimbilia hapa mjini itamcost

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko angeanza tuu na ufugaji wa kuku kwani huko chakula cha kuku kinapatikana kwa wingi.

Angefanya hivo angeweza hata kuwa anafuata sabuni pale sido anaenda kuzipanga mwandiga ama mjini?

Angefanya hivo angeweza kufuata mikungu ya ndizi hata miatono hapo manyovu kwa 6000 mpaka 7000 akifika mjini angeuza kwa bei ya leja leja.

Angefanya hivo angeweza kufuata sagaa pale kibilizi ama katonga na kuzileta mjini na akafunga kwenye vipakti

Angefanya hivo angeweza hata kufanya n.k nyiingi sana, huo mkoa ni full fursa aseee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuyaandika hapa tu, ni rahisi sana!
 
Umeanza nyodo ukiwa njiani kwenda kusaka maisha dasalama hihihihi. Maisha yakigoma dasalama utarudi hapo hapo itigi kulima alizeti
 
Back
Top Bottom