Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
sikumbuk ht wap uliniuliza naishi wapi[emoji4][emoji4]anyways chill mkuu
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu:kwenye Uzi wetu wa walevi hukumbuki!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok msaidieni mtafutaji huyo aliyetoka kigoma asije akakwama;mpeni kibarua huko apambane hata hapo moro si mbali na dar muite[emoji23][emoji23][emoji23][emoji870]🖑 yaishe mkuu..huebda nilikua [emoji483]
mie sina kibarua cha kumpa😊labda huko chugaOk msaidieni mtafutaji huyo aliyetoka kigoma asije akakwama;mpeni kibarua huko apambane hata hapo moro si mbali na dar muite
Sent using Jamii Forums mobile app
Angeweza kuja ningempeleka kwenye tanzanite mtaji ni nguvu zake tu na ujasiri.mie
mie sina kibarua cha kumpa[emoji4]labda huko chuga
Wewe si uanzishe uzi wako? Umekomaa kudandia nyuzi za wenzio.JE UNASUMBULIWA NA WADUDU KAMA KUNGUNI, MENDE, NZI, MBU.... wadudu wotee watambaao na Watusi.
KARIBU M.I FUMIGATION MSIMU HUU WA SIKUKUU
TUKUPULIZIE DAWA ZA KUUWA WADUDU MAJUMBANI, OFISINI, KWENYE BUSTANI, SHAMBANI NA MAZINGIRA MBALIMBALI KWA BEI PUNGUFU YA 20%. TUNATOA HUDUMA BORA, HUTOJUTIA DAIMA.
TUPO DSM-UBUNGO EXTERNAL
CALL : 0655166597, 0766006509.
KARIBU. TUKUFANYIE USAFI
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua umeongea ktk context ipi?Fuc*** dumack!!! Usimzibie wa kigoma uziwake
Rudi Tena kwenye quote yangu then angalia hiyo msg nimemwabia Nani. Usikurupuke Kama umening'inizwa mb**o makalioni blue ShwainFuc*** dumack!!! Usimzibie wa kigoma uziwake
Sorry pia. Niko short tempared Sana. NilishamindSoryy nimekukosea
Angeweza kuja ningempeleka kwenye tanzanite mtaji ni nguvu zake tu na ujasiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
😊😊Muungwana ni vitendo💪Soryy nimekukosea
hahahahhaa yaan ww bwanaKwa hapa sijajua tumefika wapi, ila wanasema Dar tutafika saa 6 hivi. Kwahiyo nakuomba.
Hahahahahahaha We jamaa bhana.. Aliyekudanganya Huko Kijijini kwenu ... Raisi anakimbilia Dodoma we unakimbilia DarWakuu ile safari yangu nadhani leo itafika mwisho, Kwahiyo nisaidieni wakuu, Mnisaidie japo kazi ili nipate hela ya kula.
Dakika kadhaa nyuma ndiyo tumeondoka hapa stesheni ya Morogoro, Asanteni!