Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

JE UNASUMBULIWA NA WADUDU KAMA KUNGUNI, MENDE, NZI, MBU.... wadudu wotee watambaao na Watusi.

KARIBU M.I FUMIGATION MSIMU HUU WA SIKUKUU
TUKUPULIZIE DAWA ZA KUUWA WADUDU MAJUMBANI, OFISINI, KWENYE BUSTANI, SHAMBANI NA MAZINGIRA MBALIMBALI KWA BEI PUNGUFU YA 20%. TUNATOA HUDUMA BORA, HUTOJUTIA DAIMA.

TUPO DSM-UBUNGO EXTERNAL
CALL : 0655166597, 0766006509.
KARIBU. TUKUFANYIE USAFI

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe si uanzishe uzi wako? Umekomaa kudandia nyuzi za wenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzee ungekuwa unaupdate uzi wako wa kwanza, unatupoteza huku!
 
mzee ungekuwa unaupdate uzi wako wa kwanza, unatupoteza huku!
Mbona update naweka kaka!
Hapa wanasema tumefika Ruvu stesheni, nisaidie kama utakuwa na kazi kaka, nakuomba!
 
Wakuu ile safari yangu nadhani leo itafika mwisho, Kwahiyo nisaidieni wakuu, Mnisaidie japo kazi ili nipate hela ya kula.
Dakika kadhaa nyuma ndiyo tumeondoka hapa stesheni ya Morogoro, Asanteni!
Hahahahahahaha We jamaa bhana.. Aliyekudanganya Huko Kijijini kwenu ... Raisi anakimbilia Dodoma we unakimbilia Dar

R!'^/_:Rr[b.+f}[8D?|
 
Back
Top Bottom