Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa kutoa mrejesho, sasa nenda the great ukaonane na yule mdau mwingine maana yeye akitoa mrejesho humu watu wengi watapata moyo wa kukusaidia, hata mimi mtakusaidia kwa chochote
Umeonesha uungwana
Usijali mkuu Mungu akufanyie wepesi kwenye mahitaji yako hivyohivyo kidogo tunasaidiana uzidi kubarikiwa
Hayo siyo maneno kumuambia mwenzako. Umeshindwa kumpa halafu unampa kashfa. ?Mkuu utaolewa na wanaume wa Dar usahau kabisa Kigoma.
Naona Daudi mchambuzi amekwambia uende maeneo ya kona bar, kama upo hapo makumbusho sio mbali sana na kona bar hebu nenda halafu usisahau mdau wa huko baracuda the wakitupatia mrejesho nasisi tutakuwezesha
Ushapata nauli nenda barakuda uliza jinsi ya kufika tabata barakuda kutoka hapo ulipo
Nauli unayo ulipo? Kama unayo uliza mtu nataka kwenda tabata barakuda ukifika hapo kituoni ni pm namba yako /
Sent using Jamii Forums mobile app
Daudi uko Tanzania au, Kona bar ipi, ni vizuri mkamuelekeza mfano now yuko makumbusho mwambie apande gari za kwenda wapi na ashukie wapi......Njoo maeneo ya kona Bar
Mkuu utaolewa na wanaume wa Dar usahau kabisa Kigoma.
Kigoma kakimbia kulima karanga huyo hawezi kubali kulima tena ashafika mjini hahaaKama unaweza kulima niPM.
Nina shamba linataka palizi, pa kuishi na kula muda wote wa palizi utapata.
VizuriDaudi uko Tanzania au, Kona bar ipi, ni vizuri mkamuelekeza mfano now yuko makumbusho mwambie apande gari za kwenda wapi na ashukie wapi......
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo Valentine hotel pembeni kwenye nyama choma kuna wadada poa wazuri.Njooo hapa kariakooo...ukifika ulizia Valentine hotel nikupe 20k ya kula... Im seriously