Ndiyo mkuu but tatizo la matapeli kama hawa ana discourage watu kusaidia wengine wenye shida haswa...ebu fikiria mtu akishatapeliwa kuna siku akikutana na mtu mwenye shida haswa lazima asite kutoa msaadaMkuu kutoa ni moyo kama ameongopa au ni kweli ana shida anajua yeye
Akyamama utaharibu Uzi wa Muha!!! Maana ntaanza kubwabwaja na kunena kwa lugha
That's my responsibilityHahhaha we mzee unanifurahisha sana acha nijichekee tu
watu wangapi wanakuja kuomba msaada hapa Jf lkn hawasaidiwi? Sema huyu dogo kaja na saundi kama za Ontario ndo maana amewawini ameanza kuposti hizi nyuzi toka majuzi hatimae ndege tunduniKutoa msaada kwa mwombaji ni jambo moja na aliyepokea either ni tapeli or not ni jambo lingine. Usipende kuukumu kwa kufanya uchunguzi finyu kiasi hiki.
Hivi unajua maana ya kutapeliwa?!?! Mtu kaomba msaada umetoa msaada then unasemaje umetapeliwa?!??[emoji23] Siku zote wanawake ndiyo wanaongoza kwa kutapeliwa.
sijui kutokana na roho yao ya huruma na kuamini watu ki rahisi
naona shunie na wilo washaingia mtego wa Aise.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli hilo ni tatizo sana lakini tusianze kumuhukumu kwanza ndio amefika dar kama tapeli sidhani kama angeanzisha thread zote hizi mm nimemfatilia toka thread yake ya kwanzaNdiyo mkuu but tatizo la matapeli kama hawa ana discourage watu kusaidia wengine wenye shida haswa...ebu fikiria mtu akishatapeliwa kuna siku akikutana na mtu mwenye shida haswa lazima asite kutoa msaada
HahahahThat's my responsibility
Hakuna aliyetapeliwa mkuu nimetoa kwa mapenzi yangu tu[emoji23] Siku zote wanawake ndiyo wanaongoza kwa kutapeliwa.
sijui kutokana na roho yao ya huruma na kuamini watu ki rahisi
naona shunie na wilo washaingia mtego wa Aise.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akubarikia sana megaNimekutana na jamaa kijitonyama shule, ninathibitisha jamaa ana uhitaji aisee, na wala siyo tapeli wala furahisha genge, sina kazi ya kumpa ila nimemsaidia kumpeleka kituoni makumbusho na kumpandisha gari la segerea ili ashuke hapo baracuda, aliye na nia ya kumsaidia amsaidie, nimeambatanisha pixha yake amenipa ruhusa ya kufanya hivyo ili mumuaminiView attachment 985989
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekutana na jamaa kijitonyama shule, ninathibitisha jamaa ana uhitaji aisee, na wala siyo tapeli wala furahisha genge, sina kazi ya kumpa ila nimemsaidia kumpeleka kituoni makumbusho na kumpandisha gari la segerea ili ashuke hapo baracuda, aliye na nia ya kumsaidia amsaidie, nimeambatanisha pixha yake amenipa ruhusa ya kufanya hivyo ili mumuaminiView attachment 985989
Sent using Jamii Forums mobile app
Almost 90% ya waombaji wa msaada kwenye nyuzi nilizokutana nazo Jf wamesaidiwa, hii 90% inatokana na maelezo yao na 10% ilobaki ni ukosefu wa maelezo muhimu. Mf kuna dogo wa IFM aliomba ada akalipiwa mpaka nyongeza, kuna mshikaji aliombba msaada wa mabati akapewa mpaka hela ya ziada na mwingine aliomba vyombo akapewa. So acha watu wamsadie hata kama ni tapeli atajijua ukooowatu wangapi wanakuja kuomba msaada hapa Jf lkn hawasaidiwi? Sema huyu dogo kaja na saundi kama za Ontario ndo maana amewawini ameanza kuposti hizi nyuzi toka majuzi hatimae ndege tunduni
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekutana na jamaa kijitonyama shule, ninathibitisha jamaa ana uhitaji aisee, na wala siyo tapeli wala furahisha genge, sina kazi ya kumpa ila nimemsaidia kumpeleka kituoni makumbusho na kumpandisha gari la segerea ili ashuke hapo baracuda, aliye na nia ya kumsaidia amsaidie, nimeambatanisha pixha yake amenipa ruhusa ya kufanya hivyo ili mumuaminiView attachment 985989
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba nmeona feedback zakee ngoja tumsaidie hata ya sodaAlmost 90% ya waombaji wa msaada kwenye nyuzi nilizokutana nazo Jf wamesaidiwa, hii 90% inatokana na maelezo yao na 10% ilobaki ni ukosefu wa maelezo muhimu. Mf kuna dogo wa IFM aliomba ada akalipiwa mpaka nyongeza, kuna mshikaji aliombba msaada wa mabati akapewa mpaka hela ya ziada na mwingine aliomba vyombo akapewa. So acha watu wamsadie hata kama ni tapeli atajijua ukooo
Ndiyo mkuu, nakushukuru. Huenda labda watakuwa na imani na mimi.Nimekutana na jamaa kijitonyama shule, ninathibitisha jamaa ana uhitaji aisee, na wala siyo tapeli wala furahisha genge, sina kazi ya kumpa ila nimemsaidia kumpeleka kituoni makumbusho na kumpandisha gari la segerea ili ashuke hapo baracuda, aliye na nia ya kumsaidia amsaidie, nimeambatanisha pixha yake amenipa ruhusa ya kufanya hivyo ili mumuaminiView attachment 985989
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumekuona tayari ...waliodhani ni chai wameshaamini tayari.Kuna mtu nimekutana nae, amenipatia hela pia, nimemwambia alete mrejesho hapa JF, na picha amenipiga. Nadhani hilo litawatoa hofu, Shukrani, na hapa ameniambia niende Baracuda, Asanteni. Yule aliyesema niende baracuda, Awe tayari, nakuja. Siyo nifike Asipatikane tena! Asante.
Watu ambao hawajawahi kupata shida wana viburi saaana.