The Sapiens
Member
- Dec 31, 2018
- 93
- 86
Hao wanaomuita dogo aende halafu wanamkimbia
Mkuu mpigie simu ashatoa namba yake, acheni kutaka ujiko hapa afu akifika uko mnaingia mitiniPanda gari zinazoenda Gongo la mboto halafu shukia Ukonga Mombasa.Me nitakupokea stand hapo.Ukifika ni PM
Likiwa proved ntakuwa tayari kumchangia mkuu..kutoa ni moyo.
Milele hata rudi ukweli utakufa na vijukuu na vitukuu vyako hatarudi na vyao vitakufa hivyo hivyo hakuna kurudi!Dah maisha haya eh Jesus rudi mapema maana kadri ukawiavyo ndivyo hata ile imani ndogo inazidi kutoweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc. aisePiga namba hii 0714304036 na umueleze shida yako toka mwanzo.Mwambie kuna mtu alikomenti kuwa nikipiga namba hii unaweza nisaidia.Usiogope piga hiyo namba halafu akikujibu jibu tofauti nitumie hilo jibu hapa
Kumbe ni ujiko kumsaidia mtu.Sawa bhana ngoja nitulize kipele changuMkuu mpigie simu ashatoa namba yake, acheni kutaka ujiko hapa afu akifika uko mnaingia mitini
Duh ka picha kako ngamia anaweza penya kwenye tundu la sindano!!!Piga namba hii 0714304036 na umueleze shida yako toka mwanzo.Mwambie kuna mtu alikomenti kuwa nikipiga namba hii unaweza nisaidia.Usiogope piga hiyo namba halafu akikujibu jibu tofauti nitumie hilo jibu hapa
Alouliza jina ni mwingine na anayeomba msaada ni mwingine. By the way kama unatoa msaada tao bila masharti kwani wewe sio beberu. Umemkwoti mtu tofautiMkuu umepata msaada halafu unajadili jina nalotumia JF? Kumbe hauko serious mkuu,me nilitaka nikupokee uje Lunduno kuna nyumba wanakaa vijana wengi ujiunge nao maisha yasonge halafu wewe unauliza jina.Nilijua ungeniomba namba ya simu
Hao wanaomuita dogo aende halafu wanamkimbia
Homosapiens
Nahisi alikuwa anakazia hoja yako sidhani kama alikuwa ana maanisha wewe ila hao wanaosema dogo tapeli
Naendelea hapo chini...
Samahani Mkuu huyo hapo kwenye avatar ndio wewe?Piga namba hii 0714304036 na umueleze shida yako toka mwanzo.Mwambie kuna mtu alikomenti kuwa nikipiga namba hii unaweza nisaidia.Usiogope piga hiyo namba halafu akikujibu jibu tofauti nitumie hilo jibu hapa
Peaneni no pm kabla hajapanda bus la kuja gongolamboto
Kama umeamua kumsaidia we msaidie mkuu huyo kasema hivyo kukazia na kutoa angalizo tu mkuu. Tekeleza msaada wako uliodhamiriaKumbe ni ujiko kumsaidia mtu.Sawa bhana ngoja nitulize kipele changu
Mbona nilishamalizana na niliyemquote kwa kukosea mkuu.Au kuna tatizo lingine ?Alouliza jina ni mwingine na anayeomba msaada ni mwingine. By the way kama unatoa msaada tao bila masharti kwani wewe sio beberu. Umemkwoti mtu tofauti
Akyamama watu dharau mmezaliwa nazo hamjazinunuaMi nipo tabata kimanga sema sina pa kumlaza msaada pekee ntaompa kama yupo tayari aje nimpige picha ingine ili kuwatoa wasiwasi wana JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha unataka kuanza kushusha mistari nini? kuna mmoja alisema "Deadbody nina ujumbe wako naomba uje PM " nikasema japo nimefunga PM ila ngoja nimfuate.Nikaanza "Hello" akajibu "poa mrembo umependeza",nikaona hapa hamna kazi.Huyu sio mimi na wala hata simjui,nimedownload tuSamahani Mkuu huyo hapo kwenye avatar ndio wewe?
Homosapiens