Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Aibu sana iwaendee members wote wa JF kwa kushindwa kumsaidia member mwenzetu mpaka anapata mawazo ya kulala stendi.

Homosapiens
Sapiens huyu dogo analalaje stand hakuna usalama wowote baaada ya kwenda kwenye nyumba za ibada atapata msaada. Hapa ndipo anaanza kunipa mashaka huyu dogo

Naendelea hapo chini...
 
Inawezekana unayosema lakini ukiangalia upande wa pili tapeli hawezi kukwambia alipo kwa sasa huyu anakwambia alipo, na anakupigia simu pia na kutaka kuonana na mtu. Tapeli mara nyingi huweka mawasiliano ya kutumiwa hela sio kukutana. Tatizo lake huyu mgeni hajui apande gari ipi na ashuke wapi. Kama ushawahi kusafiri nadhani utamuelewa vyema sana.

Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Wadau wake mnaanza kuoka mafichoni!
Naamini kuna wengi nyuma ya huyu TAPELI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anzia transforma mpaka mazizini mitaa niliyokulia hiyo. Ila huko kwa mkolemba markaz moshi bar kote nimechafua. Kama unaujua masjid Nassor ule msikiti wa pale mazizini nimepiga sana adhana pale allah akbar kama zotee. Uwanja wangu wa mpira ni pale godzilla japo sasa hivi kanisa wameuchukuwa uwanja.

Naendelea hapo chini...
Hahaha Godzila pale nimekimbiza sana na rafiki yangu anaitwa Maganga alikuwa anacheza sana Stone miaka hiyo.Kwahiyo kina Temba walikuwa wanacheza Godzila,wakina Toby muuza matunda wote unawakumbuka? Godzila saivi kama ulivyosema hakuna tena uwanja
 
Mkuu, pole za dhati kwa unayoyapitia! Kwa kuwa usiku unazidi, itakuwa vyema utafute gesti ya bei nafuu hapo hapo ulipo. Sijui gesti yenye bei nafuu inaanzia shillingi ngapi? Ikiwa hela ulizonazo inatosha, basi kodisha chumba kwa usiku huu. Tujulishe bei inakuwa shillingi ngapi??
 
Anzia transforma mpaka mazizini mitaa niliyokulia hiyo. Ila huko kwa mkolemba markaz moshi bar kote nimechafua. Kama unaujua masjid Nassor ule msikiti wa pale mazizini nimepiga sana adhana pale allah akbar kama zotee. Uwanja wangu wa mpira ni pale godzilla japo sasa hivi kanisa wameuchukuwa uwanja.

Naendelea hapo chini...
Ila team yangu ya nyumbani ilikuwa UJENZI pale kanisani kwa Temba
 
Back
Top Bottom