Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Jamaa huyo (Nadhani ni shoga)
Akaniuliza, unaweza kufuga kuku? Nikamwambia ndiyo, (kwa furaha kubwa) Akasema, kuna mama wa kichaga wiki mbili nyuma alikuwa anahitaji kijana wa kuhudumia kuku, kwahiyo kama uko tayari jioni uje nikupeleke kwake!
Hapo nikafurahi sana, tena sana, maana napenda sana kuhudumia kuku!
Basi tukaenda mpaka kwake, aise jamani nyie acheni, kumbe yule jamaa ni shoga kweli, nimefika kwake, mambo ya kunisaidia kuipata ile kazi ya kuhudumia kuku yakaisha, mala akaanza kunisifia kuwa nina maumbile mazuri, mala sijui nini, mambo mengi kweli, (Rejea mwanzo alivyokuwa anamsifia yule teja pale jangwani) Sasa jamaa mala anasema, eti, unavaa suruali saizi gani? Kuna suruali nataka nikupe, hebu simama hapo nikuone kiuno chako!
Sasa mpaka hapo, mimi nikawa nimeshagundua wazi huyu ni Shoga. Ila kwakuwa jamaa ni laini sana, sikuwa na shaka, maana mimi ni kijana mwenye nguvu, na yeye ni laini tu!
kwahiyo akiniletea ujinga, lazima nimzibue! Simu haiwezi kuandika maneno mengi ,naendelea hapo chini.
Ushapajua na Jangwani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya sasa, team inazidi kuongezeka!
Namna hii mtawakamata wengi wasiojitambua, wewe pia ni Tapeli mwenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo, utakuwa masikini sana kama nawe unashida lete usaidiwe, kingine sina haja ya kuwa tapeli maana nna hela na pia ninatoa sana kwa wenye shida ndio maana njlimfuata na kumsaidia, idiot!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom