Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

My dear huyo mtu ameanza mda mrefu kutukana humu, kosa langu kumwambia asitukane mama wa mwenzie akanigeuzia kibao. Nways nishampuuzia, haitotokea tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
My dear huyo mtu ameanza mda mrefu kutukana humu, kosa langu kumwambia asitukane mama wa mwenzie akanigeuzia kibao. Nways nishampuuzia, haitotokea tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole ila achana nae anaonekana sio mstaarabu, usibishane nae, ukiona mwanaume anatukana mama wa mwenzie au anamtukana mwanamke basi jua tu ana malezi ya upande mmoja sio kosa lake, mtu gani hana kauli kwa wazazi, by the way hakutakiwa kuingiza wazazi kabisa kwenye huu uzi maana hawahusiki ila tusimlaumu pengine amekulia mtaani you never know

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha na Mimi niendelee hapa chino[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuendelee tu mkuu dogo hatupi mrejesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Naendelea hapo chini...
 
Hapo ulipoweka neno "anakazia" nimekuona wa mjini kweli kweli...maana hizo lugha ni za watu wa mjini....sio Kigoma!!?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuendelee tu mkuu dogo hatupi mrejesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Naendelea hapo chini...
Bora mlale maana sioni dalili ya dogo kurudi mi mwenyewe nimechoka kusubiri mrejesho, nilishaandaa mpesa hapa nilikua nasubiri uthibitosho kutoka kwa wanajf ili nimuwezeshe dogo ila ngoja tuone hii movie inaendaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora mlale maana sioni dalili ya dogo kurudi mi mwenyewe nimechoka kusubiri mrejesho, nilishaandaa mpesa hapa nilikua nasubiri uthibitosho kutoka kwa wanajf ili nimuwezeshe dogo ila ngoja tuone hii movie inaendaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka kutuma tangu jioni lakini roho ilikuwa nzito sana nikasema ngoja niwe mtizamaji kwanza mpaka nijiridhishe ndipo na mimi nitoe mchango wangu lakini mpaka sasa bado hatujaupata ukweli kuhusu huyu dogo. Saa nne hii usiku

Naendelea hapo chini...
 
Dogo ni member since december 24 2018

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…