Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] we jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa ajabu kabisa,Halafu wengi wao wamefika town kihivyo hivyo washasahau.
 
[emoji23][emoji23][emoji848] ingelikuwa rahisi hivo,kila anayehubiri fursa angelikuwa tayari yupo kigoma na ametusua.

Sent using Jamii Forums mobile app


Mie nimefika huko mkuu...alafu nimegundua ukiweza kujimix na watu deal nje nje..nlipata deal kubwa sana kigoma..ni vile nipo chini ya himaya ya mtu tu..!mkoa ambao siwez kuishi wenye dini fulan hv maendeleo huwa yanakuja kwa shida sana
 
Nlikupa kazi ya kuja kuparamiwa. Naona umeitosa. Haupo serious wenzio wengi wanakuja wanakubali kuparamiwa wanatoka kimaisha wanaanzisha miradi yao.wewe unachagua kazi ndugu yangu.kazi ni kazi bora mkono uende kinywani
 
Bashite alisema mkija mje kwa sababu maalumu na mwisho wakukaa hapa ni Siku5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utulivu muhimu kaka!

Utulivu muhimu sana piga stori na watu kama 10 unatapata akili tofauti na kujiongeza mwenyewe, hata ukilaonao muhogo usiku mzima, mhogo mhoja kila saa, Fresh tu. kufikia 2030 kutakuwa na watu milioni 10, zaidi ya mara mbili leo. Wewe umewahi, ukiwa makini baada ya miezi 6 utakuwa vizuri. Connection is the key.
 
Watu wa ajabu kabisa,Halafu wengi wao wamefika town kihivyo hivyo washasahau.

Jiji litakua kwa asilimia 100 ndani ya miaka 11.Tupo millioni 5 sasa hivi tutakuwa na watu millioni 10 kufikia 2030. Inamaanisha wanaotoka vijijini watakuwa wengi sawa na walioko mjini leo. Ila ni rahisi sana kusahau ulipotoka au wazazi wetu walipotoka. Ndivyo tulivyo wanadamu wengi.

Inaamaanisha kutakuwa na mahitaji mengi sana ikizingatiwa vipato vya watu vitakua vimekua labda hadi tumefika uchumi wa kati. Mtu akijipanga kwenye sekta yoyote muhimu lazima atoboe. (Chakula, usafiri, kilimo, Elimu, Afya, nyumba n.k).
 
Ukifika Salanda nistue mkuu nikupe kizizi cha kuvutia mademu na dawa ya biashara

Sent using Jamii Forums mobile app

majanga haya!hvkweli kuna dawa za biashara??kuna kakangu aliendaga kwa mganga miaka y 2000. alikua mfanyabiashara wa hardware.. Mganga akichomwambia bwana nikaamin waganga wanaakili sana...alimpa dawa za kuoga..then akampiga marufuk starehe na akamwambia asizidishe nguo 5...ss imagine kiuhalisia hapo tu huez toka kimaisha?lazima utatoka ukiweka starehe pemben..wagang hawana lolote wanasoma tu saikolojia yako basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…