Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Ok ok.Sa ivi nshalianzisha![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok ok.Sa ivi nshalianzisha![]()
Huyo jamaa yeye kaamua kupita njia ya tofauti, ni mwendo wa kuponda mwanzo mwisho hahaHaaa haa...nikionaga comment yake huwaga nachekaga sana!
Jamaa anapondaga vibaya vibaya
mshana jr usije huku Bwana, magari siku hizi yanatembea hewaniNi watam hao Buji.... Kilometers zinakuwa zimerudi 0[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Zamu ya wanaume ikifika unishtueNaanza safari mida hii nikitokea Msata kilingeni... Nina ishu ya kufanya hapo bandarini mpaka saa nne takuwa nimemaliza
Kwa heshima kuu nitaomba mrembo aliye tayari tuonane japo kwa kinywaji na story kidogo... Sitegemei kulala Dar nitarudi huku jioni...
Nitakuwa nachungulia PM mara kwa mara
Pls welcome
Ingiaga kule kwenye comments zake, utacheka hadi ufe...haaa haaaHuyo jamaa yeye kaamua kupita njia ya tofauti, ni mwendo wa kuponda mwanzo mwisho haha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niko mjini tayari na pm iko wazi ila haina kitu [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] sijabeba tunguli warembo
Nazionaga sana mkuuIngiaga kule kwenye comments zake, utacheka hadi ufe...haaa haaa
Nimeshafikanenda muda huu
uthibitishe kweli kama Mshana Jr ni mganga au ana pepo wa rohoniNimeshafika
Hayo sasa ni yetu hapa.uthibitishe kweli kama Mshana Jr ni mganga au ana pepo wa rohoni
Msalimie mshana jrNimeshafika
Dah...Prof..mie nakupa ushauri wa bure kabisa....usithubutu kwenda bandarini....dili zote zimefungwa....bora urudi Msata tu ukaendelee na "tafiti" zako [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naanza safari mida hii nikitokea Msata kilingeni... Nina ishu ya kufanya hapo bandarini mpaka saa nne takuwa nimemaliza
Kwa heshima kuu nitaomba mrembo aliye tayari tuonane japo kwa kinywaji na story kidogo... Sitegemei kulala Dar nitarudi huku jioni...
Nitakuwa nachungulia PM mara kwa mara
Pls welcome
Dah...huu unafiki wa hali ya juu..... Nani mwanaume asiyependa Ku Ti er humu? [emoji87]Mzee uliruka stage ya utoto au?? Maana nyuzi unazoandika ata mwanangu hawezi kuwa na akili mpakato kiasi hiki..rubbish kabisa!
Ingiaga kule kwenye comments zake, utacheka hadi ufe...haaa haaa
Ushafika?Hapana ni mimi kabisa basi tu nimekumbuka zile nyuzi za new members wa MMU
Ni nomazzzz....Nazionaga sana mkuu
Mshana nijibie hili swali na unifanyie kazi nilokuagiza.Ushafika?