Nakuja Dar... Mrembo aliye tayari tuonane

Zamu ya wanaume ikifika unishtue
 
Niko mjini tayari na pm iko wazi ila haina kitu [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] sijabeba tunguli warembo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah...Prof..mie nakupa ushauri wa bure kabisa....usithubutu kwenda bandarini....dili zote zimefungwa....bora urudi Msata tu ukaendelee na "tafiti" zako [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mzee uliruka stage ya utoto au?? Maana nyuzi unazoandika ata mwanangu hawezi kuwa na akili mpakato kiasi hiki..rubbish kabisa!
Dah...huu unafiki wa hali ya juu..... Nani mwanaume asiyependa Ku Ti er humu? [emoji87]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…