Nakuja Dar... Mrembo aliye tayari tuonane

Wanaume wa Dar mmekua hamna makali kiasi hichi? Vipi mnataka kitonga kwenye hadi haya mambo
 
London baby kishaanza kuharibu akili za watu humu.
 
Haha!, yaani ukisoma title ya uzi then comment yake lazima ucheke tu, inaonekana ni mzee mmoja mwenye frustration atari haha!!
Haaa haaa ngoja akusikie!

Halafu ukijibishana nae tuu wote mnakula Ban[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu naomba lifti ya kurudi kama una kausafiri binafsi[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…