Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Umemtuma nini?Mshana nijibie hili swali na unifanyie kazi nilokuagiza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemtuma nini?Mshana nijibie hili swali na unifanyie kazi nilokuagiza.
Ref to post# 28.Umemtuma nini?
Si uniombe tu nikutumie mkuuKamtafute miss natafuta, umfotoe nna shida na picha yake.
Dah! Nitafurahi sana kama nitapata real pic yako mkuu. Tafadhali naomba unitumie.Si uniombe tu nikutumie mkuu
Wanaume wa Dar mmekua hamna makali kiasi hichi? Vipi mnataka kitonga kwenye hadi haya mamboNaanza safari mida hii nikitokea Msata kilingeni... Nina ishu ya kufanya hapo bandarini mpaka saa nne takuwa nimemaliza
Kwa heshima kuu nitaomba mrembo aliye tayari tuonane japo kwa kinywaji na story kidogo... Sitegemei kulala Dar nitarudi huku jioni...
Nitakuwa nachungulia PM mara kwa mara
Pls welcome
Nikutumie hapa?Dah! Nitafurahi sana kama nitapata real pic yako mkuu. Tafadhali naomba unitumie.
Hapa hapafai. Nadhani w/up inafaa.Nikutumie hapa?
Dah... Kama mkizidiwa msinisahau na mimi nije kuongeza nguvu[emoji13] [emoji13]Wakija wengi usisite nijulisha nduguyo mkuu
Ha haNi nomazzzz....
Vipi usha tuma namba PM lakini?Ni nomazzzz....
Haaa haaa ngoja akusikie!Haha!, yaani ukisoma title ya uzi then comment yake lazima ucheke tu, inaonekana ni mzee mmoja mwenye frustration atari haha!!