Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Wewe naomba unipokee mimi huko ghetto kwako. Nakaa wiki tu. Nakuahidi nitafanya usafi na kupika.Unataka upokelewe na jinsia ya kiume? ama hata sisi wadada tunaweza kukupokea? Karibu sana ghetto la kike[emoji23]