Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Inachukua mita 12 kwa mita 13Kuvutia wateja ungeweza kusema hata makadiri ya ukubwa eneo linalohitajika kwa huo mchoro, 3D ya mpangilio wa vyumba.
Halafu punguza majibizano unaonekana mbishi
Its kind of nice!View attachment 3044358View attachment 3044359View attachment 3044360
Vyumba 3 vya kulala
1 Master bedroom
2 Normal bedroom
Seble, dinning room,jiko,store, public toilet
2 verandah
Mwenyewe anajua hiyo ndio ramani 😅😅Huu ni uboya ramani ipo wapi
🤣🤣🤣🤣Hiyo ni ramani kweli au macho yangu
Nyie ndio mnasabisha akina Mwigulu wanaongeza tozo, kwa akili kama zako hizoHaya niambie wewe hiyo ni nini?
Wewe si umesema hiyo juu ni ramani?Ukituhitaji raman yake naiuza 0743257669
Ndio unasemaje?Wewe si umesema hiyo juu ni ramani?
Jiwe ngapi njoo inbox utajuaSasa umeanza kujielezea. Hapa biashara itafanyika.
Bei ni kiasi gani kabla sijaja inbox!!
Asanteeee kwa ushauri nioneshe 3d yakoBado nasikitika builders wengi mnaoweka marangazo huku jf hampo vizuri kwenye rendering
Ushauri wangu fanyieni kazi rendering kabla ya kuweka hizi 3D
Kama hampo vizuri, jifunzeni kwanza. Mnapoteza wateja wakubwa
Si nitakuwekea hata ya uongoAsanteeee kwa ushauri nioneshe 3d yako
Acha kukaza magego.Ndio unasemaje?
Ramani yake ipoBinafsi sjaona ramani lakini nimevutiwa na Sina ya mijengo ulivyo
Hata hivyo ninacho kifahamu nikwamba huyu ndugu ameamua kwa makusudi to un upload hiyo map kwa sababu Ni biashara
Kwahiyo ninafikiri Kama mtu atavutiwa na hiyo nyumba Basi atamtafuta amcholee kwa makubaliano na maisha yae ndelee
KaribuAcha kukaza magego.
Ramani cheki google mapsMkuu ramani iko wapi hapo?
Naiuza nichekMkuu ramani iko wapi hapo?