Nakukaribisha uangalie ramani hii ya vyumba 3 vya kulala

Bado nasikitika builders wengi mnaoweka marangazo huku jf hampo vizuri kwenye rendering
Ushauri wangu fanyieni kazi rendering kabla ya kuweka hizi 3D
Kama hampo vizuri, jifunzeni kwanza. Mnapoteza wateja wakubwa
 
samahani mleta mada nipo nje ya mada kidogo,mimi ni fundi wa kufunga cctv camera,electric fence,gate motor pamoja na video door bell,kwa mwenye kuhitaji huduma naomba tuwasiliane kwa namba 0622667749 au 0674376787 nipo Dar es Salaam
 
Bado nasikitika builders wengi mnaoweka marangazo huku jf hampo vizuri kwenye rendering
Ushauri wangu fanyieni kazi rendering kabla ya kuweka hizi 3D
Kama hampo vizuri, jifunzeni kwanza. Mnapoteza wateja wakubwa
Asanteeee kwa ushauri nioneshe 3d yako
 
Binafsi sjaona ramani lakini nimevutiwa na Sina ya mijengo ulivyo

Hata hivyo ninacho kifahamu nikwamba huyu ndugu ameamua kwa makusudi to un upload hiyo map kwa sababu Ni biashara

Kwahiyo ninafikiri Kama mtu atavutiwa na hiyo nyumba Basi atamtafuta amcholee kwa makubaliano na maisha yae ndelee
 
Ramani yake ipo
 
Back
Top Bottom