Nakukumbuka, asante sana

Komaa wewe acha kulia lia, utakutana na wanawake wazuri kuliko huyo x wako kuanzia shape, sura mpaka tabia, kuachana ni fursa ya kutafuta kilicho bora zaidi, furahia hiyo talaka
 
Mzee baba hadi mwanamke kukuomba talaka jua alisha piga fmhesabu zake zote na akakuona wewe ni takataka humpeleki popote. Na mission yake kwako imeisha.

Na hapa kurudi kwa huyo mwanamke ni hadi apigike huko aliko ...zaidi ya hapo unasubiri mananasi kwenye shamba la mapela .


Kama huamini endelea kujibebisha na hizo lito enjo [emoji16][emoji16][emoji16]

Imetoka hiyo
 
Relax ,it come and go just chill, nothing is permanent,enjoy maisha ,usikubali hisia zikuendeshe uta pata stress mwishowe uta dead bureee[emoji23]
 
Yani mapenzi yanauma kama utayaendekeza maumivu
Usilazimishe wala usimuwaze mtu ambae amekuumiza na ukitaka kumsahau haraka fikilia kuhusu mabaya yake tu na sio mazuri na Hilo gauni alilovaa siku hyo fikilia tu lilimkaaa ovyo na angekua mwanamke na shape tofauti na rangi tofauti lingemkaa vzuri zaid na zaid.


Kama huyo mwanamke atasoma hii comment yangu basi "Ww mwanamke utajutia maamuzi yako ya kubaki moyoni kwa watu kwa ubaya na sio kwa upendo na uzuri"
 
Kuna wanawake wengi Sana wema na wazuri.
 
Kashashikiwa akili huyo ,kuna baadhi ya ma_men wanawaloga sana wanawake waliopo kwenye ndoa ambao wanawapenda na kuzivuruga ndoa ,wewe achana nae siku madawa yakiisha na akili zikimjia ndio ataona kwamba aliingia chaka.
 
Mwenzio anashikiliwa kiuno uko nga ngaa we unamkumbuka aya kamsaidie kumshikia mguu atiwe vizuri
 
Kashashikiwa akili huyo ,kuna baadhi ya ma_men wanawaloga sana wanawake waliopo kwenye ndoa ambao wanawapenda na kuzivuruga ndoa ,wewe achana nae siku madawa yakiisha na akili zikimjia ndio ataona kwamba aliingia chaka.
Upo sahii kabisa nina kisa cha kweli kabisa ila huyu nae alienda kwa wazee wakafanya yao akarudi ,wengi hulogwa
 
Upo sahii kabisa nina kisa cha kweli kabisa ila huyu nae alienda kwa wazee wakafanya yao akarudi ,wengi hulogwa

Yes mkuu watu hawajui haya mambo ,ukiona kuna mifarakano kwenye ndoa basi kuna kimdudu mtu hapo kati ,ukienda kwa mtaalam hasa anarekebisha!
 
Watu wengi wanaochangia hapa ni watoto, hawajui maisha, hawajui familia, Wala hawajawahi kuwa na Ile feeling ya kuitwa Baba, hasa ukiwa na mtoto wa Kike, ndio maana wanaropokwa tu, narudia Tena, familia sio MBUSUSU Tu, acheni utoto
Pole sana mkuu.Exiperience za watu kwenye maisha zinatofautiana sanaaa.
Ukiona mtu anadharau tatizo lako sababu yaweza kuwa sii utoto kama unavyodai.Ila sababu yaweza kuwa akiliangalia kinachokuliza may be anaona ni kitu kidogo mnooo ambacho kwa umri wako hupaswi kukaa chin ukalia lia..

Ni sawa nikute kijana wangu wa darasa la sita analizwa na mdogo ake wa darasa la kwanza, nitamchapa viboko badala ya kumhurumia.

So heshim mawazo ya watu kisha taka kujua ujasiri huo wanaupata wapi .
 
Hahahahaaa kwahio wote Wana the same experience? Anyway good day
 
Ulikua unaichakata vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…