Nakukumbuka, asante sana

Nakukumbuka, asante sana

Ni mwaka sasa unakaribia kuisha tangu uamue kuniandikia ujumbe wa kuhitaji talaka baada ya ndoa yetu kudumu kwa miaka miwili na miezi minane tu.

Bado nakukumbuka sana mpenzi. Sichoki kukumbuka nyakati nzuri ambazo tulikaa pamoja. I still remember that glorious morning in the church, in that beautiful dress, you looked beautiful dear.

Sijajua ulikutana na changamoto gani ya kuhitaji talaka na ukaamua kutokuwa hewani bila kujua maumivu ninayopitia. I miss my little girl, G. Najua utasoma ujumbe wangu hapa JF.

Ni uamzi mzuri kuondoka lakini I just need one more chance to say a word to my little angel,,,
Kuna siku utajiona mpumbavu sana kwa haya mautoto unàyo yafanya hapa endelea kulialia ukizani sifa [emoji16][emoji16][emoji16]....yaaani ujanja wote huo wewe ndio wa kuomba penzi la kuonewa huruma.......?
 
Mkuu kwahiyo bado haujapata mtu Mwingine? Pole sana.

Sababu ilikua nini?
 
Mloge tu afe! Huyo G ni katili kwerikweri!!!
Nasema uongo ndugu zangu??
 
Ni mwaka sasa unakaribia kuisha tangu uamue kuniandikia ujumbe wa kuhitaji talaka baada ya ndoa yetu kudumu kwa miaka miwili na miezi minane tu.

Bado nakukumbuka sana mpenzi. Sichoki kukumbuka nyakati nzuri ambazo tulikaa pamoja. I still remember that glorious morning in the church, in that beautiful dress, you looked beautiful dear.

Sijajua ulikutana na changamoto gani ya kuhitaji talaka na ukaamua kutokuwa hewani bila kujua maumivu ninayopitia. I miss my little girl, G. Najua utasoma ujumbe wangu hapa JF.

Ni uamzi mzuri kuondoka lakini I just need one more chance to say a word to my little angel,,,
Ooh..Lord,have a lil' mercy unto us!
 
Tatizo MTU akiwepo mkononi hamumthamini akichoka kuvumilia akiondoka mnaanza kujifanya....sijui what
 
Hiyo mpotezee mkuu wanawake ni wengi kuliko sisi wanaume tafuta mwanamke MWINGINE atakupenda huyo ata ukirudiana naye atakutesa kihisia be AN ALPHA MALE AND NOT BETA MAN IF YOU WHAT I MEAN
 
Ni mwaka sasa unakaribia kuisha tangu uamue kuniandikia ujumbe wa kuhitaji talaka baada ya ndoa yetu kudumu kwa miaka miwili na miezi minane tu.

Bado nakukumbuka sana mpenzi. Sichoki kukumbuka nyakati nzuri ambazo tulikaa pamoja. I still remember that glorious morning in the church, in that beautiful dress, you looked beautiful dear.

Sijajua ulikutana na changamoto gani ya kuhitaji talaka na ukaamua kutokuwa hewani bila kujua maumivu ninayopitia. I miss my little girl, G. Najua utasoma ujumbe wangu hapa JF.

Ni uamzi mzuri kuondoka lakini I just need one more chance to say a word to my little angel.
Very Sad
Pole

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom