Nakukumbuka, asante sana

Nakukumbuka, asante sana

Ni mwaka sasa unakaribia kuisha tangu uamue kuniandikia ujumbe wa kuhitaji talaka baada ya ndoa yetu kudumu kwa miaka miwili na miezi minane tu.

Bado nakukumbuka sana mpenzi. Sichoki kukumbuka nyakati nzuri ambazo tulikaa pamoja. I still remember that glorious morning in the church, in that beautiful dress, you looked beautiful dear.

Sijajua ulikutana na changamoto gani ya kuhitaji talaka na ukaamua kutokuwa hewani bila kujua maumivu ninayopitia. I miss my little girl, G. Najua utasoma ujumbe wangu hapa JF.

Ni uamzi mzuri kuondoka lakini I just need one more chance to say a word to my little angel.
Mwenye mtoto alifuata mke wake.
 
Kuna mtu humu nilishawah soma comment yake (sikumbuki id gani) ila akasema

"Ndio umuhimu wa kuwa na vitu viwili viwili kwenye maisha..Nyumba 2..gari 2...wanawake wawili...Ili kimoja kikizingua unachukua kingine bila kukaa chini ukanza kulia lia"
 
Kuna mahali umekwama mkuu, ukishakuwa na watoto wa mama tofauti, na wote unawataka, inahitaji utulivu sana kufanya maamuzi, unapaswa kuweka mbali matumizi ya hisia,unatakiwa kutumia akili zaidi ya wakati mwingine wowote!
 
Ni mwaka sasa unakaribia kuisha tangu uamue kuniandikia ujumbe wa kuhitaji talaka baada ya ndoa yetu kudumu kwa miaka miwili na miezi minane tu.

Bado nakukumbuka sana mpenzi. Sichoki kukumbuka nyakati nzuri ambazo tulikaa pamoja. I still remember that glorious morning in the church, in that beautiful dress, you looked beautiful dear.

Sijajua ulikutana na changamoto gani ya kuhitaji talaka na ukaamua kutokuwa hewani bila kujua maumivu ninayopitia. I miss my little girl, G. Najua utasoma ujumbe wangu hapa JF.

Ni uamzi mzuri kuondoka lakini I just need one more chance to say a word to my little angel.
Pole sana sana Ndugu Yangu, pole mnooooo! Naelewa situation unayopitia kama Baba na kama Mwanaume mwenzangu! Yatapita, Endelea kumuomba na kumshukuru Mungu, I can feel vile unavyom-mise your Little Angel. Wanawake wa Kisasa tabu tupu
 
Watu wengi wanaochangia hapa ni watoto, hawajui maisha, hawajui familia, Wala hawajawahi kuwa na Ile feeling ya kuitwa Baba, hasa ukiwa na mtoto wa Kike, ndio maana wanaropokwa tu, narudia Tena, familia sio MBUSUSU Tu, acheni utoto
 
Wengi ni vi-teenager havijui hata ndoa ni Nini! Kwao ndoa au familia ni MBUSUSU, wasamehe
Yaan kutengua ndoa ni ngumu sana...
Sa ingine unaona upendo haupo ila ile situation kuizima ni ngumu
Afu ije sasa kuna watoto
Jamani nyie
Unaona ukiondoka utawazulumu watoto haki ya kulelewa na wazazi wote..
Ndoa ni zaidi ya mbususu
 
Ni mwaka sasa unakaribia kuisha tangu uamue kuniandikia ujumbe wa kuhitaji talaka baada ya ndoa yetu kudumu kwa miaka miwili na miezi minane tu.

Bado nakukumbuka sana mpenzi. Sichoki kukumbuka nyakati nzuri ambazo tulikaa pamoja. I still remember that glorious morning in the church, in that beautiful dress, you looked beautiful dear.

Sijajua ulikutana na changamoto gani ya kuhitaji talaka na ukaamua kutokuwa hewani bila kujua maumivu ninayopitia. I miss my little girl, G. Najua utasoma ujumbe wangu hapa JF.

Ni uamzi mzuri kuondoka lakini I just need one more chance to say a word to my little angel.
Pole sana. Ndoa za siku hizi zina changamoto nyingi. Na bahati mbaya wanandoa wengi wanashindwa kukabiliana nazo na kuzishinda- wanaishia kutengana/kupeana talaka. Inasikitisha sana.
 
alaf mwamba unaaibisha wanaume.
Umeshindwa kubembeleza mpka anaondoka unakuja lalama humu jf
Wakati wanaume tunapewa mamlaka ya kutawala viumbe vyote ww ulikua wapi ona sasa unatuletea inzi mezani
 
Yaan kutengua ndoa ni ngumu sana...
Sa ingine unaona upendo haupo ila ile situation kuizima ni ngumu
Afu ije sasa kuna watoto
Jamani nyie
Unaona ukiondoka utawazulumu watoto haki ya kulelewa na wazazi wote..
Ndoa ni zaidi ya mbususu
Umeiweke vyema sana sana
 
Ni mwaka sasa unakaribia kuisha tangu uamue kuniandikia ujumbe wa kuhitaji talaka baada ya ndoa yetu kudumu kwa miaka miwili na miezi minane tu.

Bado nakukumbuka sana mpenzi. Sichoki kukumbuka nyakati nzuri ambazo tulikaa pamoja. I still remember that glorious morning in the church, in that beautiful dress, you looked beautiful dear.

Sijajua ulikutana na changamoto gani ya kuhitaji talaka na ukaamua kutokuwa hewani bila kujua maumivu ninayopitia. I miss my little girl, G. Najua utasoma ujumbe wangu hapa JF.

Ni uamzi mzuri kuondoka lakini I just need one more chance to say a word to my little angel.
Kulilia mapenzi ktk Dunia yenye watu Billion 7 ni matumizi mabaya ya akili
 
Back
Top Bottom