Uchaguzi 2020 Nakukumbusha Kitila Mkumbo , kwamba 2015 CHADEMA ilimshinda Didas Masaburi wa CCM kwa tofauti ya zaidi ya kura elfu 10

Kuna watu bado wanaota ndoto za mchana, ndoto za abinuasi
Ngoja tuone
 
Mbona chadema ishakufa.
Mnajisumbua tu.
Chadema haitapata Zaid ya majimbo 5.
Viti maalum ndio kabisa hawatapata maana hawana mgombea wa urais mwenye ushawishi.

2020
Mtaji wa CCM ni low IQ kma ww. CUF walivyopata viti maalum 8 uchaguzi uliopita walisimamisha mgombea Urais??

Kma mnajiamini muweke tume huru au muache kuingiza dola kwenye chaguzi ili CHADEMA iumbuke vizuri kweupe kwamba imepoteza majimbo bila figisu otherwise mnajitia moyo tu.
 
Nimepata habari nikiwa safarini kutoka Kyela kuja DSM kwamba eti wewe Kitila Mkumbo umemkimbia Mwigulu kwenu Iramba na kuja kujaribu bahati yako jimbo la Ubungo , Nakukaribisha , lakini nakutahadharisha kwamba Ubungo si Jimbo jepesi na hasa kwa wanasiasa wasaliti kama wewe .

Mtoto wa Mjini , Didas Masaburi aliyekuwa Meya wa Jiji la DSM aliangukia pua mwaka 2015 bila huruma yoyote , alipigwa kwa tofauti ya zaidi ya kura elfu 10 , kumbuka huyu alikuwa timu Kikwete , aliyekuwa Rais , sioni namna yoyote ya wewe kuambulia hata nusu ya kura za masaburi 2015 , utapigwa kipigo cha mbwa koko uaibike na waliokuheshimu wakudharau moja kwa moja.

Omba Mungu usipitishwe na ccm kugombea ubungo .
Lakini mzee si kawakataza wateule wake kugombea nafasi za kisiasa? Ama Profesa anaacha u Katibu Mkuu kwanza anapoelekea kugombea ubunge!
 
Kaona Mwigulu mwanampotevu karudi kwa Baba
Basi huu ni udhaifu mkubwa sana. Kwahiyo alikuwa anategemea kupigwa chini kwa Mwigulu na Jiwe ndiyo kumpe ushindi, iwe gatewy to ubunge! . Ndio maprofesa wetu, profesa Mouth/ Mdomoni- stomach/Tumbo-large intestine/utumbo mkubwa/mku###/anus-Chooni...pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaputuputu...
 
Mbona chadema ishakufa.
Mnajisumbua tu.
Chadema haitapata Zaid ya majimbo 5.
Viti maalum ndio kabisa hawatapata maana hawana mgombea wa urais mwenye ushawishi.

2020
Hivi chama mfu ndio hiki ambacho mnawarushia mabomu na maji ya kuwasha wanapofanya mikutano ya ndani? Ndio hawa mnaowanyima nafasi za kufanya mikutano ya hadhara? Vyama mfu! Kweli unaamini vimekufa? 🤣 🤣 🤣 👆
 
Nimepata habari nikiwa safarini kutoka Kyela kuja DSM kwamba eti wewe Kitila Mkumbo umemkimbia Mwigulu kwenu Iramba na kuja kujaribu bahati yako jimbo la Ubungo , Nakukaribisha , lakini nakutahadharisha kwamba Ubungo si Jimbo jepesi na hasa kwa wanasiasa wasaliti kama wewe .

Mtoto wa Mjini , Didas Masaburi aliyekuwa Meya wa Jiji la DSM aliangukia pua mwaka 2015 bila huruma yoyote , alipigwa kwa tofauti ya zaidi ya kura elfu 10 , kumbuka huyu alikuwa timu Kikwete , aliyekuwa Rais , sioni namna yoyote ya wewe kuambulia hata nusu ya kura za masaburi 2015 , utapigwa kipigo cha mbwa koko uaibike na waliokuheshimu wakudharau moja kwa moja.

Omba Mungu usipitishwe na ccm kugombea ubungo .
Una wasiwasi kuwa atashinda kwa hiyo unataka kumkatisha tamaa ili asiende, si ndiyo. Yaani ningekuwa mimi, hapa ulikuwa ndiyo umenipa moyo zaidi. Kumbuka kuwa ana uhakika wa kupata kura zaidi ya elfu 40 kutoka jumuia ya watu wa UDSM, labda kura zipigwe wanafunzi wa chuo wakiwa hawapo wamefunga
 
Nimepata habari nikiwa safarini kutoka Kyela kuja DSM kwamba eti wewe Kitila Mkumbo umemkimbia Mwigulu kwenu Iramba na kuja kujaribu bahati yako jimbo la Ubungo , Nakukaribisha , lakini nakutahadharisha kwamba Ubungo si Jimbo jepesi na hasa kwa wanasiasa wasaliti kama wewe .

Mtoto wa Mjini , Didas Masaburi aliyekuwa Meya wa Jiji la DSM aliangukia pua mwaka 2015 bila huruma yoyote , alipigwa kwa tofauti ya zaidi ya kura elfu 10 , kumbuka huyu alikuwa timu Kikwete , aliyekuwa Rais , sioni namna yoyote ya wewe kuambulia hata nusu ya kura za masaburi 2015 , utapigwa kipigo cha mbwa koko uaibike na waliokuheshimu wakudharau moja kwa moja.

Omba Mungu usipitishwe na ccm kugombea ubungo .

Pia soma >Uchaguzi 2020 - Profesa Kitila Mkumbo akimbia Singida, atangaza nia jimbo la Ubungo
kwa mkwara waliopigwa majuzi na Makonda.....kule CCM hata wakiweka jiwe linashinda kwa 100%
 
Hayo yalitokea kwa CCM dhaifu! Kikwete mwenyewe familia ilibidi isimamie kampeni zake 2010! Acheni kujidanganya, mna kazi kubwa mno kubadili matokeo hasa kwa wananchi kuwaelewa.
2015 mpaka leo ni muda mrefu sana kisiasa, na mengi yamepita hapo katikati.
 
Nimepata habari nikiwa safarini kutoka Kyela kuja DSM kwamba eti wewe Kitila Mkumbo umemkimbia Mwigulu kwenu Iramba na kuja kujaribu bahati yako jimbo la Ubungo , Nakukaribisha , lakini nakutahadharisha kwamba Ubungo si Jimbo jepesi na hasa kwa wanasiasa wasaliti kama wewe .

Mtoto wa Mjini , Didas Masaburi aliyekuwa Meya wa Jiji la DSM aliangukia pua mwaka 2015 bila huruma yoyote , alipigwa kwa tofauti ya zaidi ya kura elfu 10 , kumbuka huyu alikuwa timu Kikwete , aliyekuwa Rais , sioni namna yoyote ya wewe kuambulia hata nusu ya kura za masaburi 2015 , utapigwa kipigo cha mbwa koko uaibike na waliokuheshimu wakudharau moja kwa moja.

Omba Mungu usipitishwe na ccm kugombea ubungo .

Pia soma >Uchaguzi 2020 - Profesa Kitila Mkumbo akimbia Singida, atangaza nia jimbo la Ubungo
Mwaka 2015 sio mwaka 2020. Na Ccm ya mwaka 2015 sio ya mwaka 2020. Tumia common sense! Mwaka huu Ccm wanashinda mapema kabisa.
 
Mbona chadema ishakufa.
Mnajisumbua tu.
Chadema haitapata Zaid ya majimbo 5.
Viti maalum ndio kabisa hawatapata maana hawana mgombea wa urais mwenye ushawishi.

2020
Chadema sahauni ya 2015 zile zilikuwa kura za Lowasa mlizosaidiwa na Lowasa mwaka huu mtalijua jiji
Sijaona chama kioga kama ccm, yaani pamoja na majeshi yote kuwalinda, rais, tume ya uchaguzi ni ya kwenu, n.k. lakini kiwango cha woga mnachoonesha tena dhidi ya mtu mmoja tu Tundu Antipas Lissu ni kikubwa mno.
 
aina ya mtu kama DR. Kitila Mkumbo ni wachache sana, ni mtu anayeweza kugombea sehemu yoyote ktk jimbo lolote TZ na akashinda bila wasiwasi, hii ni kutokana na uwezo wake mkubwa wa kutambua, kubaini na kutatua changamoto za wananchi,uwezo wa kufikiri na kutenda kwa pamoja, uwezo wa kutambua na kutoa ufumbuzi kwa wakati, ni mtu wa field,
namkubali sana Dr. kitila sina shaka nae hata kidogo.
 
Aliwahi kutatua nini na wapi ?
 
Tuache mda uongee ila hao wa ubungo wenyewe wngine mbunge wao wameshamsahau hivyo ni rahisi kwa kitila kupita
 
Mtaji wa CCM ni low IQ kma ww. CUF walivyopata viti maalum 8 uchaguzi uliopita walisimamisha mgombea Urais??

Kma mnajiamini muweke tume huru au muache kuingiza dola kwenye chaguzi ili CHADEMA iumbuke vizuri kweupe kwamba imepoteza majimbo bila figisu otherwise mnajitia moyo tu.
Kisingizio kuwa tume sio huru ni uongo tu. Maana tume inasimamia uchaguzi kwa mujibu wa sheria na kanuni. Na kila chama huwa na wakala wa kulinda kura.
Na hakuna mwananchi ambaye huwa anashikiwa bunduki ili achague kiongozi wa chama asichokitaka. Msisingizie vyombo vya dola kwa mambo ya uongo. Kama kushindwa mnashindwa sababu CCM inatekeleza ilani yake vizuri.
 
Tukicheza kama tulivyocheza Jimbo la Mbagala mwaka 2015 yaani hili Jimbo la Ubungo mapema tu tushalibeba 😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom