MAJIMBO yote ya UPINZANI Dar yanahali mbaya sana, wasipokaa makini wanaweza kosa majimbo yote labda tu watu waamue kuchagua chama ila sio kujali tathmin ya 2015-2020..
Masuala ya kitaifa ndio wamekomalia haswaa, hivi unaenda kumueleza mtu wa ubungo/kawe/kibamba kuwa speaker wa bunge la JMT ni mbabe yatamsaidia nini. Waheshimiwa majimboni hata hawaonekani kili kukicha mara wapo KISUTU mara kususia uchaguzi mara wakapambane na Askari jela Segerea.