Nakukumbusha tu mwanaume mwenzangu

Nakukumbusha tu mwanaume mwenzangu

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Nakukumbusha tu kuwa ukihonga elfu kumi kumbuka yafuatayo:-

*1.* Ni bei ya sato kilo moja

*2.* Kuku wa nyama mmoja

*3.*kilo 2 za nyama ya ng'ombe

*4.*Sukari kilo 3

*5*. Donna kilo 4

*6.* Mchele kilo 4 super kabisa

*7.* Maziwa ya ng'ombe lita 4

*8.* Soda take away 10

*9.* Castle lite 4

*10.* Petrol lita 5

*11* nauli ya safari 13 za Mwendo kasi

*12.* Chocolote ivory
dogo 20

*13*. Mayai tray moja kizungu

*14*. Nauli na kiingilio cha mechi ya simba na yanga

*Endelea kuhonga hatutakusaidia kwa lolote ila utaambulia Ushauri tu....*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papuchi za bure utazipa wapi jombaa
 
Mwanamke lazima umpendezeshe unapeleka shopping m inakatika hata ulicho nunua hakionekani wewe unawaza10000 hata usafi wa.kucha haiwezi kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom