Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa. Ndio hapo sasaa.Ukipasuka dada yngu nitapata wapi mwingine km wewe???
Jumbe zko sijaziona na mda kweli sijaingia humu
Nitag basi my nizione ili nikujibuuuHahaaaa. Ndio hapo sasaa.
Hakuna shida kama hujaziona mdogo wangu. Nafurahi kukuona upo bukheri wa afya. [emoji8] [emoji8]
Mmh. Ukianza kuwaza hivyo mwisho wa siku hata kufanya matumizi yako binafsi utashindwa.
Punguzeni kulalamika ndio mana zipo jinsia mbili na sio moja.
Hivi Vijijini kuna Shopping... Au huko hakuna wanawakeMwanamke lazima umpendezeshe unapeleka shopping m inakatika hata ulicho nunua hakionekani wewe unawaza10000 hata usafi wa.kucha haiwezi kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
na mie nikupatie namba yangu??Nipe namba yako nikutumie elfu 10.
na mie nikupatie namba yangu??
Duuhhh mie naomba just prove the relationship btn kutongoza na kuhonga .Basi msitongoze
haaaa why nitatumiwa nyingi sanaTena ww ntakutumia nyingi zaidi. Nitumie
100% ,,ukitaka kufanikiwa kiuchumi hakikisha unakua bahili ..hata wanauchumi wanashauri matumiz kidogooooooooo wekeza sanaaaaaaaUbahiri mwingine mfuuuuu
haaaa why nitatumiwa nyingi sana
Nakukumbusha tu kuwa ukihonga elfu kumi kumbuka yafuatayo:-
*1.* Ni bei ya sato kilo moja
*2.* Kuku wa nyama mmoja
*3.*kilo 2 za nyama ya ng'ombe
*4.*Sukari kilo 3
*5*. Donna kilo 4
*6.* Mchele kilo 4 super kabisa
*7.* Maziwa ya ng'ombe lita 4
*8.* Soda take away 10
*9.* Castle lite 4
*10.* Petrol lita 5
*11* nauli ya safari 13 za Mwendo kasi
*12.* Chocolote ivory
dogo 20
*13*. Mayai tray moja kizungu
*14*. Nauli na kiingilio cha mechi ya simba na yanga
*Endelea kuhonga hatutakusaidia kwa lolote ila utaambulia Ushauri tu....*
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nipe namba yako nikutumie elfu 10.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja niikumbuke vizuri. [emoji124] [emoji124]
Usijali mdogo wangu.Nitag basi my nizione ili nikujibuuu
Hio m inayokatika unamaanisha 1m? Hebu acha utani wewe, hayo ni matofali 1000!Mwanamke lazima umpendezeshe unapeleka shopping m inakatika hata ulicho nunua hakionekani wewe unawaza10000 hata usafi wa.kucha haiwezi kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kutongoza ndio kuhonga?Basi msitongoze
Vipi anamdogo wake??Hiyo ya mafuta tuu mkuu kaniambia dingi yake leo kamzingua kumpa hela ya mafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuhonga kama hukutongozaKwani kutongoza ndio kuhonga?