Nakukumbusha tu mwanaume mwenzangu

Nakukumbusha tu mwanaume mwenzangu

Lijaaa linatutisha na jua kuwa hata Siku moja hautapewa nyapu ya Bure

Wala kuiokota K

Mpe anae kupa
 
Ukipasuka dada yngu nitapata wapi mwingine km wewe???

Jumbe zko sijaziona na mda kweli sijaingia humu
Hahaaaa. Ndio hapo sasaa.

Hakuna shida kama hujaziona mdogo wangu. Nafurahi kukuona upo bukheri wa afya. [emoji8] [emoji8]
 
Mmh. Ukianza kuwaza hivyo mwisho wa siku hata kufanya matumizi yako binafsi utashindwa.

Punguzeni kulalamika ndio mana zipo jinsia mbili na sio moja.

Nipe namba yako nikutumie elfu 10.
 
Nakukumbusha tu kuwa ukihonga elfu kumi kumbuka yafuatayo:-

*1.* Ni bei ya sato kilo moja

*2.* Kuku wa nyama mmoja

*3.*kilo 2 za nyama ya ng'ombe

*4.*Sukari kilo 3

*5*. Donna kilo 4

*6.* Mchele kilo 4 super kabisa

*7.* Maziwa ya ng'ombe lita 4

*8.* Soda take away 10

*9.* Castle lite 4

*10.* Petrol lita 5

*11* nauli ya safari 13 za Mwendo kasi

*12.* Chocolote ivory
dogo 20

*13*. Mayai tray moja kizungu

*14*. Nauli na kiingilio cha mechi ya simba na yanga

*Endelea kuhonga hatutakusaidia kwa lolote ila utaambulia Ushauri tu....*

Sent using Jamii Forums mobile app

Kila mtu apambane na hali yake!
 
Back
Top Bottom