Kitu fresh!Na asa ikiwa haina gono,kaswende wala ngoma
16.Mafuta ya kupikia nusu lita chupa 2 na chenji inabaki.Ukihonga shiling elfu 10,000
Ni bei ya....
1)Sato kilo 1
2)Kuku 1 wa nyama
3)Kilo1.5 za nyama ya ng'ombe
4)Sukari kilo 3
5)Donna kilo 6
6)Mchele super kilo 4
7)Maziwa ya ng'ombe kilo 4
8)Soda take away 10
9)Castle lite 4
10)Petrol lita 4.5
11)Nauli ya safari 14 za mwendo kasi
12)Mayai ya kisasa tray 1
13)Umeme unit 28
14)Mchemsho wa kuku 2
15)Nauli ya Dar moro na chenji inabaki
Mengine malizia mwenyewe
ShunieWatu mkifulia mnakuwa na akili hizo
Huku Kitimoto Kilo 6000,Mahindi debe 6000,Nyama ya Cow na Mbuzi kg 1 ni 5000,Karibuni Tabora.Kitimoto nusu 10,000/=
Afu sukari ni 4 kgs @2500
tofali 12 za block
AbeehShunie
Kumbuka unachohonga ukipate sio ugali wala daftari mscheeeewwww.
Na tunaopewa zaidi ya laki inakuwaje hapo
Halaf dar nyama kilo moja ni 9000 au 8000
sukari kilo 3 kwa 10000 wapi huko nije kununua??
Kuna mawili hapa, aidha hana pesa au mademu wa mtandaoni wamempiga sana mpaka akili zimemrudiaMkuu sasa si ustaafu tu kuhonga