Nakukumbusha tu: Ukihonga elfu kumi kumbuka yafuatayo

Nakukumbusha tu: Ukihonga elfu kumi kumbuka yafuatayo

Ukihonga shiling elfu 10,000
Ni bei ya....

1)Sato kilo 1
2)Kuku 1 wa nyama
3)Kilo1.5 za nyama ya ng'ombe
4)Sukari kilo 3
5)Donna kilo 6
6)Mchele super kilo 4
7)Maziwa ya ng'ombe kilo 4
8)Soda take away 10
9)Castle lite 4
10)Petrol lita 4.5
11)Nauli ya safari 14 za mwendo kasi
12)Mayai ya kisasa tray 1
13)Umeme unit 28
14)Mchemsho wa kuku 2
15)Nauli ya Dar moro na chenji inabaki

Mengine malizia mwenyewe
 
Ukihonga shiling elfu 10,000
Ni bei ya....

1)Sato kilo 1
2)Kuku 1 wa nyama
3)Kilo1.5 za nyama ya ng'ombe
4)Sukari kilo 3
5)Donna kilo 6
6)Mchele super kilo 4
7)Maziwa ya ng'ombe kilo 4
8)Soda take away 10
9)Castle lite 4
10)Petrol lita 4.5
11)Nauli ya safari 14 za mwendo kasi
12)Mayai ya kisasa tray 1
13)Umeme unit 28
14)Mchemsho wa kuku 2
15)Nauli ya Dar moro na chenji inabaki

Mengine malizia mwenyewe
16.Mafuta ya kupikia nusu lita chupa 2 na chenji inabaki.
17.pork nusu kilo na ugali na chenji ya Safari.
18.mikate kumi ' super loaf
 
Hyo elfu 10.jana nimemtumia mtu alafu hajaja. Nikashukuru mungu. Demu akikataa kuja uwa naamini kuna kitu mungu kaniepusha.
Na hela zangu zingine zitakuwa zimesalimika
 
Acheni utani 10,000/= dume haswa umebarehe ndiyo unapumzikia kifuani kwa mtoto wa watu.

Acheni mZaha hawa ni Dada zetu inatakiwa wapendeze .
 
bila kuhonga utapata mwanamke bro?mademu wanashida nyingi mojawapo kujiweka safi na afya lazima uwasuport na ww upendwe
 
Back
Top Bottom