Acha mawazo uchawara...
BBC sio shirika la zuhura Yunusi au Salim Kikeke... Wao ni wasomaji habari tu, wanaletewa habari ambayo tayari imashahaririwa, yeye ni kusoma tu.
Sasa unataka kuwapa lawama, wakati wao wameajiriwa tu, na habari wameletewa tu.
Laumu Shirika na si mtu husika
Mnafiki yuko kazini,Tafadhari sana Watanzania nawakumbusha kwa rejea ya hawa watu Zuhura Yunus na Salim Kikeke nyakati za utawala wa Ndugu Hayati Rais Magufuli hawa viumbe hawakuwa na taswira wala nafsi zenye uzalendo na upendo kwa Taifa letu, na si hivyo tu pia hawakuwahi kuwa na news contents zenye kuinua taswira za taifa na Viongozi wetu hata awamu ya Mstaafu Rais Kikwete ndimi zao wakiwa BBC Swahili London.
Sioni sababu yoyote ya msingi ya kumjadili na kuwaza kuhusu haki ya fursa ya uteuzi kwa nafasi yoyote kwa Salim Kikeke.
Hata Zuhura Yunus ni aibu kuwa pale alipo kwa sasa, hana sifa ya kuonekana state house/ikulu, tangu Zuhura Yunus ateuliwe kwenye Ile nafasi alichokuwa akisingizia kwa kutuchafua ati kukosekana kwa taarifa toka kwa viongozi na serikali ndio kulifanya wao waiseme Tanzania vibaya.
Salimu Kikeke mna mjadili kama nani, kuna mtu mfano Pascal Mayala ana uwezo mkubwa kwenye tasnia ya habari kuwazid hao wote waandishi wasaliti wa Taifa.
Kikeke potential yake Iko huko TikTok na uteuzi wa Kikeke popote pale utakuwa ni najisi kwa taifa la Tanzania.
Watanzania tuache upumbavu wa kuwa wasahaulifu kwenye mambo ya msingi.
Shukrani [emoji120]
Tukutane kwenye comments
Wadiz
Wacha fyokofyoko zako ili iwejesasa ,wewe ndio msemaji wa ikulu roho mbaya tu .Umfute kazi basi kama unaweza au una uwezo kakojoe ukalale.Tafadhari sana Watanzania nawakumbusha kwa rejea ya hawa watu Zuhura Yunus na Salim Kikeke nyakati za utawala wa Ndugu Hayati Rais Magufuli hawa viumbe hawakuwa na taswira wala nafsi zenye uzalendo na upendo kwa Taifa letu, na si hivyo tu pia hawakuwahi kuwa na news contents zenye kuinua taswira za taifa na Viongozi wetu hata awamu ya Mstaafu Rais Kikwete ndimi zao wakiwa BBC Swahili London.
Sioni sababu yoyote ya msingi ya kumjadili na kuwaza kuhusu haki ya fursa ya uteuzi kwa nafasi yoyote kwa Salim Kikeke.
Hata Zuhura Yunus ni aibu kuwa pale alipo kwa sasa, hana sifa ya kuonekana state house/ikulu, tangu Zuhura Yunus ateuliwe kwenye Ile nafasi alichokuwa akisingizia kwa kutuchafua ati kukosekana kwa taarifa toka kwa viongozi na serikali ndio kulifanya wao waiseme Tanzania vibaya.
Salimu Kikeke mna mjadili kama nani, kuna mtu mfano Pascal Mayala ana uwezo mkubwa kwenye tasnia ya habari kuwazid hao wote waandishi wasaliti wa Taifa.
Kikeke potential yake Iko huko TikTok na uteuzi wa Kikeke popote pale utakuwa ni najisi kwa taifa la Tanzania.
Watanzania tuache upumbavu wa kuwa wasahaulifu kwenye mambo ya msingi.
Shukrani 🙏
Tukutane kwenye comments
Wadiz
Da huyo ndio asipate kabisa laanu llahi hao ndio Mafitani wakubwa sijui kama sio yeye huyo(Pascal )Naona kama ndio style zake ni watu wa fitna na wadini wana roho mbaya sana na wabaya sana iblisi.Chaaz Hilal nae vp hakuwa "mkuda" alipokua BBC London
Waliongea ushuzi gani?.Weka taarifa sawa vinginevyo ni wivu au ushamba unakusumbua.Acha ujinga sibahatishi kuhusu hili Zuhura Yunus na Salim Kikeke walishahojiwa sana na wakaongea ushuzi mtupu, my friend don't joke nenda YouTube records zipo. Hao hawafai kuwa sehemu ya Serikali ya taifa hili tena chini ya utawaywa CCM
Wazanzibari hatutupani hata kama alikuwa mkudaChaaz Hilal nae vp hakuwa "mkuda" alipokua BBC London
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji375]Acha mawazo uchawara...
BBC sio shirika la zuhura Yunusi au Salim Kikeke... Wao ni wasomaji habari tu, wanaletewa habari ambayo tayari imashahaririwa, yeye ni kusoma tu.
Sasa unataka kuwapa lawama, wakati wao wameajiriwa tu, na habari wameletewa tu.
Laumu Shirika na si mtu husika
wivu na roho mbaya zitawaua jamaniAcha ujinga sibahatishi kuhusu hili Zuhura Yunus na Salim Kikeke walishahojiwa sana na wakaongea ushuzi mtupu, my friend don't joke nenda YouTube records zipo. Hao hawafai kuwa sehemu ya Serikali ya taifa hili tena chini ya utawaywa CCM
Hapana hakuwa na ubaya CharlesChaaz Hilal nae vp hakuwa "mkuda" alipokua BBC London
Upeo wako mdogoSijui umetoa wapi hiyo takataka uliyiandika hapo,kukuambia hauko vizuri upstairs umekuja na kingereza cha kumbumba kwenye Quote.
Sikukosea kukurank hivyo nakazia BBC so TBC
Konzi imekukaa una lipuka mapepoMnafiki yuko kazini,
Ndugu zangu tuepuke saana watu wa namna hii, huyu sura yake ndo hii unayoiona hapa Hana utofaut na huko aliko.
Hawa ndo wale hawafanyi kaz maofisin wao kazi yao nikutafuta maneno ya fitna kwa watu na kupeleka kwa boss,
Huyu ni mnafiki mharibu maisha ya watu alafu ukiangalia kiundani hamn anachopata Ila moyo wake huwa na furaha akiona ameshakuharibia maisha.
Ukute hata huyo dkt magufuli mwenyewe alikuwa hampendi sema tu ametumia hapa ili kushindilia unafiki wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Asikosolewe kwani yeye nani?Tafadhari sana Watanzania nawakumbusha kwa rejea ya hawa watu Zuhura Yunus na Salim Kikeke nyakati za utawala wa Ndugu Hayati Rais Magufuli hawa viumbe hawakuwa na taswira wala nafsi zenye uzalendo na upendo kwa Taifa letu, na si hivyo tu pia hawakuwahi kuwa na news contents zenye kuinua taswira za taifa na Viongozi wetu hata awamu ya Mstaafu Rais Kikwete ndimi zao wakiwa BBC Swahili London.
Sioni sababu yoyote ya msingi ya kumjadili na kuwaza kuhusu haki ya fursa ya uteuzi kwa nafasi yoyote kwa Salim Kikeke.
Hata Zuhura Yunus ni aibu kuwa pale alipo kwa sasa, hana sifa ya kuonekana state house/ikulu, tangu Zuhura Yunus ateuliwe kwenye Ile nafasi alichokuwa akisingizia kwa kutuchafua ati kukosekana kwa taarifa toka kwa viongozi na serikali ndio kulifanya wao waiseme Tanzania vibaya.
Salimu Kikeke mna mjadili kama nani, kuna mtu mfano Pascal Mayala ana uwezo mkubwa kwenye tasnia ya habari kuwazid hao wote waandishi wasaliti wa Taifa.
Kikeke potential yake Iko huko TikTok na uteuzi wa Kikeke popote pale utakuwa ni najisi kwa taifa la Tanzania.
Watanzania tuache upumbavu wa kuwa wasahaulifu kwenye mambo ya msingi.
Shukrani 🙏
Tukutane kwenye comments
Wadiz
Yule wa DP WorldAsikosolewe kwani yeye nani?
Kuna Rais yupi Tanzania hakosolewi?
Impact yao haikuwa kwa Rais hawakuwa na mizania na uzalendo kwa taifa letu, awaye yeyote ambaye alikuwa ana wafuatilia nyakati zao you tube has a lot to tell about these crooksAsikosolewe kwani yeye nani?
Kuna Rais yupi Tanzania hakosolewi?
Labda kuna wapinzani wa ndani walikuwa wanawatumaTafadhari sana Watanzania nawakumbusha kwa rejea ya hawa watu Zuhura Yunus na Salim Kikeke nyakati za utawala wa Ndugu Hayati Rais Magufuli hawa viumbe hawakuwa na taswira wala nafsi zenye uzalendo na upendo kwa Taifa letu, na si hivyo tu pia hawakuwahi kuwa na news contents zenye kuinua taswira za taifa na Viongozi wetu hata awamu ya Mstaafu Rais Kikwete ndimi zao wakiwa BBC Swahili London.
Sioni sababu yoyote ya msingi ya kumjadili na kuwaza kuhusu haki ya fursa ya uteuzi kwa nafasi yoyote kwa Salim Kikeke.
Hata Zuhura Yunus ni aibu kuwa pale alipo kwa sasa, hana sifa ya kuonekana state house/ikulu, tangu Zuhura Yunus ateuliwe kwenye Ile nafasi alichokuwa akisingizia kwa kutuchafua ati kukosekana kwa taarifa toka kwa viongozi na serikali ndio kulifanya wao waiseme Tanzania vibaya.
Salimu Kikeke mna mjadili kama nani, kuna mtu mfano Pascal Mayala ana uwezo mkubwa kwenye tasnia ya habari kuwazid hao wote waandishi wasaliti wa Taifa.
Kikeke potential yake Iko huko TikTok na uteuzi wa Kikeke popote pale utakuwa ni najisi kwa taifa la Tanzania.
Watanzania tuache upumbavu wa kuwa wasahaulifu kwenye mambo ya msingi.
Shukrani 🙏
Tukutane kwenye comments
Wadiz
Umewaza kimtambuka safi sana waandishi wa habari nao hutumikia matumbo yaoLabda kuna wapinzani wa ndani walikuwa wanawatuma
Upeo wako mdogo