Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Acha mkuu,ukiona jambo ni gumu nilifanye kuwa la kawaida na baadae utaona mambo yatakavyokuwa shwari.Mkuu ni ukweli Huwa Kuna muda nawaza Sana vitu ambavyo sipati majibu Hadi mgongo unauma na kuwaka moto.
Najitahidi japo Kuna muda najaribu kupinga mawazo Kwa nguvu zote lakini yanakuja subconsciously nikisema niyatatue hua sifikii mwafaka.Acha m
Acha mkuu,ukiona jambo ni gumu nilifanye kuwa la kawaida na baadae utaona mambo yatakavyokuwa shwari.
Ni kweli mkuu Kuna muda napatwa na majuto na Kutamani kusali kumuomba Mungu aniue tu niacheMkuu hiyo hali ni hatari sana, huanza kwapata watu miaka 40 na kuendelea
Tiba
Kunywa maji mengi sana taratibu kwa siku nzima na huu uwe utaratibu wako
Fanya mazoezi angalau tembea 10 km kwa siku kwa speed (usidharau hii tiba) itakusaidia.
Kula matunda kama papai parachichi,
Ukipata mafuta ya mnyonyo weka kijiko kimoja ama 2 kwenye uji kunywa utanishukuru
Kunywa mtindi lita mbili, tatizoKama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana.Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.
Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi.Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi.Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.
Nakula kidogo nashiba haraka Sana.Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.
Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.
##Soso Take my pain###
Kunywa mtindi Lita mbiliKama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana. Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.
Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi. Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi. Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.
Nakula kidogo nashiba haraka Sana. Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.
Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.
##Soso Take my pain###
Ngoja nijaribu mkuu Jana nimefukia mkungu wa ndizi matokeo ni kukosa choo na mgongo kuuma
Angekuwa doctor wa kike ungekubali ?Hospitali nimeenda doctor akadai aniingize kidole nipime nikakataa
SheNajitahidi japo Kuna muda najaribu kupinga mawazo Kwa nguvu zote lakini yanakuja subconsciously nikisema niyatatue hua sifikii mwafaka.
SheNajitahidi japo Kuna muda najaribu kupinga mawazo Kwa nguvu zote lakini yanakuja subconsciously nikisema niyatatue hua sifikii mwafaka.
Alikuwa wa kike mbona na nlikataa lakini naona ndyo tiba inayofaa maana hata naona njia ya choo imekuwa ndogo Sana.Angekuwa doctor wa kike ungekubali ?
Mkuu umekosa golden chance hyo,,Alikuwa wa kike mbona na nlikataa lakini naona ndyo tiba inayofaa maana hata naona njia ya choo imekuwa ndogo Sana.
i feel your painSoso Take my pain
chukua brenda weka papai,embe,ndizi,maziwa changanya upate juice moja safi kunywa nyingi kiasiKama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana. Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.
Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi. Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi. Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.
Nakula kidogo nashiba haraka Sana. Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.
Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.
##Soso Take my pain###
Nipo MwanzaUnapatikana wapi naweza kukusaidia.
Kumbe tiba mujarabu kabisa 😂😂hiyo ni tiba mkuu asiogope...
Nimewahi fanya kazi hospital moja wakati nimemaliza tu chuo, nikijishkiza hapo japo si taaluma yangu...
Aliletwa mgonjwa hajanya 2months kwa mujibu wake na hawezi kutembea miguu imegoma kabisa hana nguvu na anasukumwa na while chair...
Daktari wa zamu kumcheki akahitimisha kwa kumfokonyoa kinyesi kwa vidole. Harufu ilikua ni kali mno haijapata kutokea...
Mwishowe mgonjwa yule alitoka jasho sana na aliondoka hospitali kwa furaha sana akitembea kwa miguu yake mwenyewe na baada kama ya wiki hivi alirudu sio kwaajili ya matibabu tena bali alimletea yule Dr . asanti ya sh laki2, coz mgonjwa anadai alizunguka mno kutafuta tiba na kupoteza pesa mingi bila mafanikio...
Usione haya unapotafuta suluhu ya afya yako...