Nakula ila Sipati choo msaada jamani

Nakula ila Sipati choo msaada jamani

Mkuu hiyo hali ni hatari sana, huanza kwapata watu miaka 40 na kuendelea
Tiba
Kunywa maji mengi sana taratibu kwa siku nzima na huu uwe utaratibu wako
Fanya mazoezi angalau tembea 10 km kwa siku kwa speed (usidharau hii tiba) itakusaidia.
Kula matunda kama papai parachichi,
Ukipata mafuta ya mnyonyo weka kijiko kimoja ama 2 kwenye uji kunywa utanishukuru
 
Acha m

Acha mkuu,ukiona jambo ni gumu nilifanye kuwa la kawaida na baadae utaona mambo yatakavyokuwa shwari.
Najitahidi japo Kuna muda najaribu kupinga mawazo Kwa nguvu zote lakini yanakuja subconsciously nikisema niyatatue hua sifikii mwafaka.
 
Mkuu hiyo hali ni hatari sana, huanza kwapata watu miaka 40 na kuendelea
Tiba
Kunywa maji mengi sana taratibu kwa siku nzima na huu uwe utaratibu wako
Fanya mazoezi angalau tembea 10 km kwa siku kwa speed (usidharau hii tiba) itakusaidia.
Kula matunda kama papai parachichi,
Ukipata mafuta ya mnyonyo weka kijiko kimoja ama 2 kwenye uji kunywa utanishukuru
Ni kweli mkuu Kuna muda napatwa na majuto na Kutamani kusali kumuomba Mungu aniue tu niache
Kuteseka.
 
Kama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana.Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.

Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi.Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi.Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.

Nakula kidogo nashiba haraka Sana.Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.

Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.

##Soso Take my pain###
Kunywa mtindi lita mbili, tatizo
Kama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana. Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.

Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi. Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi. Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.

Nakula kidogo nashiba haraka Sana. Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.

Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.

##Soso Take my pain###
Kunywa mtindi Lita mbili
Au kunywa mafuta ya samaki
Ukishindwa kupata matokeo kunywa mafuta ya nyonyo.
 
Tiba hii ni nzuri sana,jitahidi ufanikishe.
Mimi nimekupatia bure,ukikaidi kuna watu utawafuata kwa malipo tena mkononi na maajabu yake hao utawaelewa na utatii ukidhani unatii ushauri wao lkn kiuhalisia utakuwa unatii fedha utakazokuwa umelipia.
Najitahidi japo Kuna muda najaribu kupinga mawazo Kwa nguvu zote lakini yanakuja subconsciously nikisema niyatatue hua sifikii mwafaka.
She
 
Alikuwa wa kike mbona na nlikataa lakini naona ndyo tiba inayofaa maana hata naona njia ya choo imekuwa ndogo Sana.
Mkuu umekosa golden chance hyo,,
Hairudi tena.

Ingekuwa mimi ningemvulia nguo zote aone jinsi nilivyoumbika kwa mbele.
 
1. Kunywa juice ya machungwa.. isiwekwe sukari wa maji.. machungwa tupu

2. Kula sana ugali na mlenda ama bamia kwa wingi

3. Kula sana ndizi za kupikwa
 
Kama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana. Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.

Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi. Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi. Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.

Nakula kidogo nashiba haraka Sana. Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.

Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.

##Soso Take my pain###
chukua brenda weka papai,embe,ndizi,maziwa changanya upate juice moja safi kunywa nyingi kiasi
 
Kunywa maji ya kutosha na na ufanye mazoezi mepesi ya viungo pia siyo unafukia na kubonyea siku nzima.

Juisi ya ukwaju wa kuloweka kwenye maji (siyo ya viwandani) inasaidia kupata choo kwa hati ya dharura na ukizidisha unaharisha.
 
hiyo ni tiba mkuu asiogope...
Nimewahi fanya kazi hospital moja wakati nimemaliza tu chuo, nikijishkiza hapo japo si taaluma yangu...

Aliletwa mgonjwa hajanya 2months kwa mujibu wake na hawezi kutembea miguu imegoma kabisa hana nguvu na anasukumwa na while chair...

Daktari wa zamu kumcheki akahitimisha kwa kumfokonyoa kinyesi kwa vidole. Harufu ilikua ni kali mno haijapata kutokea...

Mwishowe mgonjwa yule alitoka jasho sana na aliondoka hospitali kwa furaha sana akitembea kwa miguu yake mwenyewe na baada kama ya wiki hivi alirudu sio kwaajili ya matibabu tena bali alimletea yule Dr . asanti ya sh laki2, coz mgonjwa anadai alizunguka mno kutafuta tiba na kupoteza pesa mingi bila mafanikio...

Usione haya unapotafuta suluhu ya afya yako...
Kumbe tiba mujarabu kabisa 😂😂
 
Back
Top Bottom