maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Pole sana... Hapo kunaweza kuwa na tatizo. Kama walivyoshauri wengine angalia diet yako. Ikipita siku mbili tatu za kubadili diet (kula vyakula visivyokobolewa na matunda kama mapapai) nenda hospitali. Nahisi hata psychological problems zinaweza kusababisha constipationMkuu Mimi Kila siku natembea kilometa 2 siishi hayo maisha unayosema.Hadi nakimbia lakini wapi.
Nenda hospitali Ukafamyiewe Enema Ushapata ChooKama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana. Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.
Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi. Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi. Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.
Nakula kidogo nashiba haraka Sana. Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.
Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.
##Soso Take my pain###
Hii ndio dawa ya uhakika. Mimi binafsi huwa nakunywa kahawa ile ya uswazi hapo hilo tatizo litakuwa historia AmforealPole Sana Nunua Ukwaju Kilo 1 Chemsha Acha Upoe Halafu Uchuje
Kunywa Wa Kutosha Baada Saa Moja Usitoke Home
Kaa Jirani Na Mlango Wa Maliwato! Utajisaidia Kivumbi Na Jasho
Kama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana. Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.
Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi. Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi. Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.
Nakula kidogo nashiba haraka Sana. Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.
Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.
##Soso Take my pain###
Atafune na tangawizi kidogo.Pole sana katakata vitunguu swaumu punje unywe na maji ya moto
Cheki figo huenda zimefeliKama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana. Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.
Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi. Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi. Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.
Nakula kidogo nashiba haraka Sana. Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.
Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.
##Soso Take my pain###
Unamaliza siku ngp bila kupata choo na siku unapo pata choo kinakuaje,ni kigumu?Nipo Mwanza
Anahitaji suluhu ya kudumu.Tafuna MBEGU ZA MLONGE.
kaa karibu na choo
HYO NDO SULUHU YA MILELE KABISA.sio ya kudumu.kwanza hataharisha vibaya mno .akishafunga mambo yote yatakuwa sawaAnahitaji suluhu ya kudumu.
PM.Nipo Mwanza
Joker.Hospitali nimeenda doctor akadai aniingize kidole nipime nikakataa
Niamini Mimi kwahiyo nikuaminishaje Doctor Mwanamke alisema Nimruhusu aingize kidole aje kama njia labda imeziba.Nikaona ukakasi.Joker.
Haupo serious , unaleta maigizoHospitali nimeenda doctor akadai aniingize kidole nipime nikakataa
Kwa mfano wewe ni Doctor kakuambia hivyo utaweza kulielezea ukaonekana serious.Siigizi naishi na hili tatizo muda mrefu.Haupo serious , unaleta maigizo