Nakula ila Sipati choo msaada jamani

Nakula ila Sipati choo msaada jamani

Mkuu Mimi Kila siku natembea kilometa 2 siishi hayo maisha unayosema.Hadi nakimbia lakini wapi.
Pole sana... Hapo kunaweza kuwa na tatizo. Kama walivyoshauri wengine angalia diet yako. Ikipita siku mbili tatu za kubadili diet (kula vyakula visivyokobolewa na matunda kama mapapai) nenda hospitali. Nahisi hata psychological problems zinaweza kusababisha constipation
 
Hayo mavi inabidi uende kwenye vyoo visivyo vya kuflash ili yashuke vizuri.

We jua tu kadri unavyo endelea kula kuna siku yatatok yenyew we kula hat kidg.
 
Kama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana. Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.

Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi. Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi. Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.

Nakula kidogo nashiba haraka Sana. Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.

Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.

##Soso Take my pain###
Nenda hospitali Ukafamyiewe Enema Ushapata Choo
 
Pole Sana Nunua Ukwaju Kilo 1 Chemsha Acha Upoe Halafu Uchuje
Kunywa Wa Kutosha Baada Saa Moja Usitoke Home
Kaa Jirani Na Mlango Wa Maliwato! Utajisaidia Kivumbi Na Jasho
Hii ndio dawa ya uhakika. Mimi binafsi huwa nakunywa kahawa ile ya uswazi hapo hilo tatizo litakuwa historia Amforeal
 
Kwenye maduka ya vifaa tiba Kuna kajikifaa fulani kakutanyia enema. Hebu nunua hako kajikifaa Bei ndogo tu. Fuata maelekezo thank me later.
Usione aibu Kama huwezi kuki operate mwenyewe hicho kifaa, njoo inbox nikuelekeze njia rahisi.
 
Kama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana. Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.

Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi. Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi. Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.

Nakula kidogo nashiba haraka Sana. Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.

Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.

##Soso Take my pain###

Achana na ujinga wa kula bla bla, wahi hospitalin, unaweza kupoteza maisha huku unaona.

Kama unajamba then is not that serious, lakin kama haujambi, it is a very serious thing and u can die.
 
Pole sana katakata vitunguu swaumu punje unywe na maji ya moto
Atafune na tangawizi kidogo.
Baadaye atafune karanga hasa mbichi au korosho nyingi, ale papai na kunywa maji mara nyingi kwa kutwa.
 
Kama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana. Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.

Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi. Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi. Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.

Nakula kidogo nashiba haraka Sana. Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.

Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.

##Soso Take my pain###
Cheki figo huenda zimefeli
 
Tiba ya haraka na nafuu
Nenda kwenye maduka ya dawa za kiislam
Omba mbegu za mkuyati nunua mbegu 4 zinauzwa 200 ama 300 ukifika home hakikisha siku hiyo hauna shughuli yoyote maana shughuli yake sio ya kitoto. Na siku hiyo usiwe na ratiba yoyote ya kutoka nyumbani. Pondaponda mbegu 2 zimeze na maji ya uvuguvugu.
Meza alfajiri ama usiku wa manane mida ya saa9 ili asubuhi kukicha shughuli ianze.
Kama chumba chako niself baki chumbani , chemsha maji vuguvugu lita 5 baki nayo jirani ndo shughuli yake ni masaa8 utaharisha vitu vya hatari utaona hadi mkaa maana inatoa uchafu wote tumboni hata wa miaka 2 ambao huwa unakuwa mweusi.
Option B kanunue unga wa mlonge chemsha kidogo kwwnye maji kunywa glasi3 kwa siku utaharisha sana pia
 
Back
Top Bottom