kajunjumele
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,470
- 1,352
Kwa hiyo ataperform balaaππnenda famas nunua πππ¬ππ¨π« ππ’π₯ ni mafuta ya kuondoa uchafu tumboni.
ila utakunywa vijiko 2 tu na usikae mbali na choo
Kiwango cha fiber unachoingiza ni kidogo ni wazi. Pia intake ya maji sio nzuri. Unapoamka asubuhi kunywa glass 2 za maji ya uvuguvugu (vema vuguvugu inayotoa jasho) husaidia sana kusukuma choo.Kama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana. Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.
Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi. Tumbo linauma pia na limekuwa likitambi. Kuna muda naamua kunywa uji siku nzima ilimradi kupunguza maumivu.
Nakula kidogo nashiba haraka Sana. Na maumivu ya mgongo Kwa chini ambayo nahisi yametokana na taka vyakula kutotoka.
Nakumbuza enzi zile mfumo wa mmeng'enyo ulikuwa vizuri sikuwahi para shida kama hizi.
##Soso Take my pain###
Kama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana. Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.